hillman
Senior Member
- May 28, 2014
- 159
- 45
Wadau, niaje, hope wote mko poa, Nina gari yangu aina ya nissan muundo wa Tiida, Huu ni mwezi wa sita sasa kuna tatizo limejitokeza wazungu wanaita ''missfiring''. In fact nikiwa naendesha nikiwa speed kidogo, ikiwa inaji engage gear (automatic). I feel like kuna misses flan. (inatetemeka) nimejitahid kutafuta mafundi kadha wa kadha, wengine walinambia nmeweka mafuta machafu, tank likasafishwa lakin bado, wengine wakaja na stori za plugs nazo zimebadilishwa lakin bado, Sa hiv nahitaj professional fundi gari yangu iwe fit,
Msaada please
Msaada please