Recent content by Hilal Mjuni

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ps2 zinazocheza flash nipo Arusha

    Ni pm bei?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji ps2 zinazocheza flash nipo Arusha

    Ps2 mbili zinazocheza flash Arusha
  3. H

    JamiiForums Tanzania kwa hali hii UDOM kunaendeka?

    Ndio inawezekana
  4. H

    JamiiForums Tanzania What are qualifications required to join Law school

    Habari zenu, ningependa kujua ni vigezo gani vinazingatiwa kabla ya kujiunga na law school. Ahsanteni
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hv sasa tuna apply mkopo au vyuo?

    Slip ya form six sio lazima, form za mkopo mjaze kwa uangalifu na umakini mkubwa
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unlocking iphone 4s

    Asante sana payment zinafanyika vipi maana nimesha jua imelockiwa na AT&T?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Quid Pro Quo, Maana yake Halisi

    Mimi kwa uelewa wangu hio phrase inamaanisha wakati mkataba unapofanywa lazima "consideration" iwepo, yaani lazima pande zote mbili zibadilishane bidhaa, huduma n.k
  8. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unlocking iphone 4s

    Habari ndugu na jamaa nina iphone 4s tatizo langu ni kwamba hio simu ilifanyiwa jailbreaking na mimi nikai update ios kufikia 7.1 na sasa ikiwaka inataka kuactivate lakini inadai sim not valid kwa anaejua solution aniambie na gharama. Thanks to all
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Wadau Mnaosoma sheria au mliowahi kusoma sheria nimekumbana na swali ambalo nahitaji msaada wenu "when offer is made by e-mail when is it considered to be a valid OFFER "Kwa maana nyingine ni mpaka imfikie aliyetumiwa au aisome?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Hivyo ni suti za kutosha???
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waliochaguliwa UDOM

    Napenda kufahamu kama kuna dressing code mfano LL,B (Bachelor of Law) Natanguliza shukrani
  12. H

    JamiiForums Tanzania Je umechaguliwa course ya ndoto yako?

    Ndoto yangu ilianza nikiwa form II na sasa inatimia Bachelor of Law
  13. H

    JamiiForums Tanzania wale wa UDOM 2kutane HAPA !!!

    Bachelor of laws
Back
Top Bottom