Recent content by HiDEmYiD

  1. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Ungekosea stake kwa kuongeza sifuri mbele sahivi 180M kiboss mno kiinua mgongo cha Boss Mkubwa tu.
  2. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Jana bado kidogo nitupie laki nifate hizo odds 7 nikusindikize nikaogopa. Gademit
  3. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Mkuu wewe lazima uokote.
  4. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Hakuna ukiwa mkamaria lazima uwe na miiko yako Binafsi biashara ya kucash out sifanyi kwa sababu nilishawah kufanya hivyo mara 3 najikuta napishana na gari la mshahara labda nikate bima kulinda stake.
  5. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Nilihisi hivyo maana alisema dakk 30 ikiwa kimya anakomba kilichopo ndio maana wataalamu wanashauri ukitia mkeka zima data lala subiri tokeo though hata 8M kwa stake ya 10k sio haba
  6. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Atembeze upendo 600k sio haha....kama nawaona wakamaria wapya wanavyoingia mzigoni.
  7. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Safi kanji anasonya huko ......
  8. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Cashout 2.3M, au 18.6M? Nishaurini

    Goli lipo usikeshi out boss
  9. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Nimefukuzwa kwenye sherehe ya kipaimara kisa mimi ni muislamu

    Kweli nyani haoni kundule kwenye issue ya ubaguzi waislamu mufunge mabakuli yenu.
  10. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Dear Baby, Ukiniomba tu hela basi mimi na wewe tumemalizana..!!!

    Kuna demu tumegombana kama week mbili jana nimeamka nakuta mis call kama zote......kumpigia piga story akaanza utapeli wa amenimic mara anipigie video call....badae katikati ya story akanichomekea kirungu....nikacheka nikamwambia hiyo pesa ninayo lakini sikupi akajichekesha akakata simu...
  11. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Polisi kuomba hela ya posho ya Askari toka kwa ndugu wa mgonjwa ni unyonyaji, ni ukatili

    Huo ndio utaratibu unataka polisi wakale wapi ......yahn humtoe mtu katavi halafu usimlipe wewe mwenywe ukitumwa kazi mkoani unataka posho. Hata kama polisi ni wababaishaji ila sio kama ivyo
  12. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Kupata tunda ni akili tu

    Ujinga mtupu
  13. HiDEmYiD

    JamiiForums Tanzania Tahadhari Kwa Watanzania: Kinachoendelea Kenya ni muendelezo wa Kushindwa Kwa sera za kilaghai za Wapinzani.

    We jamaa bila shaka upo kwenye kundi la waramba asali
Back
Top Bottom