Mdahalo umefanyika na DR kama ningekuwa judge ningempa 90%. Amejibu maswali vizuri sana na ametangaza sera za chadema kwa utulivu bila jazba. Mungu tunakushukuru kwa uliofanya na tunaomba uendelee kuwa nasi katika siku zilizosalia. watanzania mmemsikia Dr akielezea namna atakavyotekeleza ahadi...
Yap nampa big up Mengi,Lakini aache kuhubiri kuwa uchaguzi una udini kwenye graduation alioalikwa atoe nasaha,anaanza kufanya kazi ya Kiravu na wengine.Haya mambo ya udini yanakuzwa na wanasiasa na watu kama yeye na yazidi kurudiwarudiwa ili hatimaye baada ya uchaguzi muanze kusema udini...
Hiyo habari mbona haieleweki.yaani atafanya mdahalo baada ya wananchi kutoa maamuzi ili isaidie nini.Nani kakupa hizo habari?tuhabarishe tusio nataarifa
Sasatel are using CDMA technology, The other company using CDMA technology are TTCL and Zantel only other are using GSM 3G technology.I advice you to look CDMA chip and try to insert in to your moderm if will not work there must be locking technology applied .
Ninachojua server za NMB za ATM ni tofauti na zile za ndani, ndio maana ukitaka hela zaidi ya milion moja wanakulazimisha kwanza uanze kwenye ATM mpaka ukose fursa tena ya kuchukua ndio uende ndani. hii inatokana na kuwa server ni tofauti na media ilioziunganisha haina speed ki hivyo zinachelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.