NMB datbase ina walakini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NMB datbase ina walakini

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by MIGNON, Oct 11, 2010.

 1. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #1
  Oct 11, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Mimi ni mteja wa NMB na pia natumia sana NMB mobile katika kuhamisha pesa kwenda sehemumbalimbali.
  Huduma ya NMB mobile imetusaidia sana hasa tulio na watoto wanaosoma boarding.
  Nimeshangazwa na mambo mawili makubwa kuhusu NMB database,

  1. Database inakubali hata ukiingiza digit zaidi.Ina maana ya kuwa unaweza kuamini umehamisha pesa kumbe hazikwenda (ikumbukwe ya kuwa msg ya ku confirm transfer wakati mwingine inachelewa sana.)
  2. database inakubali kutoa taarifa ya kuwa pesa imehamishwa wakati kitendo hicho hakikufanyika.Wiki iliopita nilipata ya msg ya kufanikiwa kuhamisha pesa na nikamtumia mwanangu ambaye mpaka saa saba mchana next day pesa ilikuwa haijaingia.Tulipofuatila tukaambiwa it was unsuccesful transfer.Mtu niliyemuuliza hapo NMB house alijibu kuwa haya ni mambo ya mtandao anything can happen.Kila nilipojitahidi kuonyesha concern kuwa inakuwaje database ikibali kuwa pesaimehamishwa lakini sivyo,alikuwa hana majibu ya kutosha.
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Oct 11, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  What i know ni kuwa NMB wamejiunga na the most powerful database software ORACLE kuanzia July 2010 ila sasa sijashangaa sana kwanini mablanda yanatokea kwa sababu hawana qualified personnel ku query ORACLE database.....so tegemeeni mablanda kibao.....
   
 3. BrainPower

  BrainPower Senior Member

  #3
  Oct 11, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Penye miti , hakuna wa kukuta. Penye vifaa , hakuna wajenzi.

  B.P (2010)
   
 4. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jambo usiliolijua ni kama usiku wa giza, nmb bado haijaaza kutumia software yoyote ya oracle, kinachofanya balance ziwe tofauti ni kutokana na matatizo ya server ambayo inaweza kuwa ya kampuni ya simu au ya nmb, na siyo kutokuwa na qualified person
   
 5. emanuel.feruzi

  emanuel.feruzi Senior Member

  #5
  Oct 23, 2010
  Joined: Apr 25, 2009
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Moving from one RDBMS to another can pose some challenges, especially it is an overnight conversion. What I think can be done is to let NMB know and run some tests. The question is, why did they change, had the previous database engine underperformed or it more of every other bank is using ORACLE may be we should do?

  I am sure they have a fall back procedure in place so that they can fall back to the old database engine until this issue has been rectified.
   
 6. H

  Hida Member

  #6
  Oct 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ninachojua server za NMB za ATM ni tofauti na zile za ndani, ndio maana ukitaka hela zaidi ya milion moja wanakulazimisha kwanza uanze kwenye ATM mpaka ukose fursa tena ya kuchukua ndio uende ndani. hii inatokana na kuwa server ni tofauti na media ilioziunganisha haina speed ki hivyo zinachelewa kuonanana (reconcile) ndio maana wanakulazimisha kuchukua kuchukua nje usije ukachukua ndani na baadae ukachukua nje kuzidi ile hela uliyo nayo (overdraft). na ndivyo inavyotokea kwenye NMB mobile.
   
 7. PayGod

  PayGod JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 1,255
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  bado kabisa jambo usilolijua kam usiku wa kiza, server ni moja tu, ufanye transaction ndani au nje ya ATM zote zieffect kwenye server moja, labla itokee system MISBEHAVE ambayo hii utokea kwa system yoyote 2
   
 8. M

  MIGNON JF-Expert Member

  #8
  Oct 25, 2010
  Joined: Nov 23, 2009
  Messages: 2,587
  Likes Received: 1,563
  Trophy Points: 280
  Nawashukuru sana mwanzoni nilihisi ya kuwa sikueleweka kwani wachangiaji wamekuwa wachache mno.Hata hivyo naomba muangalie mifano niliyotoa ili tuweze kwenda sambasamba.Kama server hazi recncile ilikuwaje nikapata message ya succesful transfer???
  Naaamini watu wa IT wa NMB walitizame jambo hili kwa makini.
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Oct 25, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,788
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wanachofanya ni kuwaibia walalahoi,fikiri kwenye atm unakatwa sh 500 halafu uende ndani tena sh 400.wakati wale wa hundi atakatwa sh 400 kwa vile anachukua ndani.kwa ujumla benki za tz hazipo kumsaidia mwananchi ni unyonyaji tuu!
   
 10. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #10
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Kaka Oracle bado, kwa sasa kinachofanyika ni kuicustomize FLEX CUBE ambayo ndio banking system itakayo run kwenye ORACLE, wanategemea mwakani mwanzoni waanze kuhama taratibu kwenda kwenye system mpya.
   
 11. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #11
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Ili pia lina ukweli, lakini kunapokuwa na matizo ya SERVER za kampuni za simu na TANESCO, si rahisi kwa huduma yeyote kupatikana
   
 12. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #12
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Naweza kukusaidia some of reason for change:-
  1. Banking system ya sasa aina uwezo wa kuwa na product nyingi na wame study na kugundua kuwa wakitumia FLEX CUBE itakuwa more products.
  2. System ya sasa ipo slow sana kwa inaonyesha kuzidiwa mara nyingi.
  3. System ya sasa inashindwa kuwasiliana na system ya ATM, na ndio maana mara nyingi ni vigumu kukuta trandsaction ya ATM kuwa affected immediate kwenye system ya banking.( Ndio maana ukiingia ndani ni lazima uje na risiti ya kwenye ATM kuonyesha balance yako)
   
 13. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #13
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  1.Ni kweli kabisa kuwa kuna SERVER mbili ya ATM na Banking na hizi Server system zake azionani ndio sababu kubwa moja wapo ya kuhamia kwenye FLEX CUBE.

  2. Kaka kwa nmb mobile hlo aliwezekani kwani nmb mobile inasoma direct kwenye banking. huwezi kupata overdrafy kwenye nmb mobile.
   
 14. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #14
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Server sio moja!
   
 15. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #15
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Kaka hilo linaeszekana kwani transaction inafanyika ila inachelewa kufika kule ulipotuma na hasa huyo mtu akiwa anata kuchukua hiyo hela kwenye ATM, cha kukusha huri ni kuwa ukikuta kwenye ATM haisomeki basi ingia ndani utapata hela yako uliyotumiwa.

  Na hiyo insababishwa na kuwa slow kwa system na kule kutokuingiliana kwa system ya ndani na ATM.
   
 16. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #16
  Oct 25, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,578
  Likes Received: 1,674
  Trophy Points: 280
  Nadhani tuwe wakweli jamani NMB wameanza charge hizi mwaka huu na hii ni kutokana na ongezeko la idadi ya ATM na gharama ya kuzitunza hizi ATM kwani NMB kwa sasa ina ATM zaidi ya 300 na matawi zaidi ya 130 na almost kila tawi lna ATM mbili.

  Kuhusu kukatwa hela hamna ukweli kuwa utakatwa hela kwa huduma ambayo aujaipata hilo aiwezekani.
   
 17. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #17
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  System bomu kwa kifupi, hakuna cha kuhamia Oracle kama design ya system ni bomu.
   
Loading...