Mayu
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 6,633
- 10,712
Wadau nisaidieni nataka kuwakimbia sasatel, kwani nikitoka tu nje ya Dar kwisha habari.
ingawa si mtaalamu na mzoefu wa modem za mitandao mingine lakini hii ya sasatel haitumii sim card ya sasatel ili kuwa connected,ingawa inasehemu ya kuingiza sim card.
taarifa zake ni
SMU-101A
CDMA REV.A
USB MODEM
Napi kwa ndani kuna namba TS002044
Naomba kusaidiwa kuiunlock nataka kuhamia zantel au zain
Pia naomba kufahamishwa kama itafanikiwa kufanya kazi kwa mtandao wowote, je sitanilazimika kuinstall software itakayo sapoti zantel au zain nitakapo taka kujiunganao?, nitazipataje hizo software?.
msaada wenu ni muhimu