Recent content by hhsmakwato

  1. H

    United Kingdom statement on Zanzibar elections

    Watatoa tuu , waruke wasiruke
  2. H

    Tanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Niko hapa maua barabara ya 4 kituo cha sofia saluni , watu wamejitokeza lakini wengi vijana
  3. H

    Uzinduzi wa Halotel: Tusaidiane Kukonekti Dots

    Mi nadhani kitambulisho sio lazima cha kura hata leseni ya udereva , cha uraia , so hapo kidogo nashindwa kuconnect dot.
  4. H

    Mgombea ubunge TANGA MJINI awatukana watu hovyo hovyo

    Tatizo hukai Tanga na kama uko Tanga bs unaishi Lushoto. Changia kitu ulichokuwa na uhakika nacho. Jammaa hata jina jana watu wamembadilisha wanamwita Juma Nyosso.
  5. H

    Mgombea ubunge TANGA MJINI awatukana watu hovyo hovyo

    Nundu kabadilishwa jina saivi huku Tanga anaitwa Juma Nyosso.
  6. H

    Hii teknolojia sisi tutagundua nini

    Microsoft ni kiboko yao hakuna apple wala nani. Juzi wametoa device zao kama lumia 950/950xl simu na 550, hololens, band 2, surface book na pro 4. Labda kwa wajuzi watatuelezi jinsi microsoft walivyoendelea hapo.
  7. H

    UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    Kwanza hesabu hujui, sijawahi sikia elfu mia moja .
  8. H

    CCM oneni aibu tazama hii nchi ilikotoka na mahali ilipo

    Kumbe upo na wew na kwani kilichoongea ni uongo ?
  9. H

    Dr. Slaa kumnadi Magufuli Jumatano

    Sitegemei hilo tukio kutokea lakini kwa Dr mihogo linawezekana. Ngoja tusubiri
  10. H

    Mgombea CCM aanguka jukwaani akiruka kichurachura!

    Waanguke tuu maana hakuna namna.
  11. H

    Dar kuna kura milioni 3, lazima Lowassa apige kambi

    Kwani kuumwa ni kufa na kwenda kwa daktari ni tatizo ? Mbona watz tunakuwa wapuuzi kiasi kwamba hata thamani ya utu haijulikani !!! Kwahiyo mtoa mada unataka tukusaidie nini labda kwa huo upuuzi wako..?
  12. H

    Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Mkuu picha ninazo lakini simu yangu kuapload inakuwa sheeedaaaa. Km vp nipe namb nikutumie pia uziweke hapa.
  13. H

    Yaliyojiri Tanga: Mkutano wa Mgombea wa CHADEMA, E. Lowassa - Septemba 28, 2015

    Leo sisiemu inaenda kufa maana mpk sasa sa 5 uwanja umeshajaaa sijui ikifika sa 8 njia zitafungwa. Tanga ni ccm na ccm ni Tanga huu msemo leo unazikwa rasmi.
Back
Top Bottom