Recent content by Hhm

  1. H

    Naomba ushauri wa namna ya kuanzisha biashara

    Naomba mwongozo katika kuanzisha biashara ya spare za magari kama option no. 1 n.a. option no 2 ninayoifikiria ni biashara ya construction Hardware 3. Biashara ya kilimo. Naomba ushauri nipewe na changamoto zake , risk zake n.a. dada zake n.a. namna ambavyo hasira inaweza kupokea.
  2. H

    Ni halali kisheria kushikilia gari kwa makosa ya dereva?

    UCD Ni sahihi kuwa gari ni kielelezo cha kosa hebu rejea hoja yangu hapo juu na kama una taaluma ya sheria pia ni vyema ukairejea sheria husika utusaidie ili tupate elimu wote.
  3. H

    Ni halali kisheria kushikilia gari kwa makosa ya dereva?

    Wadau , kuna jambo ambalo binafsi silielewi, mmiliki wa gari amemkodisha mtu ambae katika hoja yangu nitamwita Dereva kwa mkataba uliosainiwa kisheria na kuainisha haki za Dereva na Haki za mmiliki na wajibu wa Dereva na Wajibu wa mmiliki. Sasa inakuwaje unakuta Dereva amefanya makosa kwa...
  4. H

    Mchango wa Kumsaidia Tundu Lissu Matibabu Nje ya Nchi

    OOOhh God !!! Jamani Mungu amponye Lisu, nashauri kutokana na watu kupigwa sana through mitandao, kama hili la kuchangia ni kweli tunaomba tutangaziwe officialy na Chama kupitia vyombo vyakuaminika ili tuchangie, otherwise hii itatumika vibaya.
  5. H

    CHADEMA 'Lowassa siyo fisadi', CCM 'Lowassa ni fisadi'

    Sasa hivi ni zamu yetu watz kukata ....nendeni mkajiandikishe tufanye kazi ya kuwakata tuu hakuna kazi nyingine this time ccm bai baaaaaiiiii
  6. H

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Mheshimiwa EDO NGOYAI LOWASA mzee wa maamuzi magumu, nakupa BIG UP MZEEEE WE JEMBE MZEEEEE INGIA UKAWA NA sisi wote tunatia TIMU hukohuko na SASA ni safari YA UHAKIKA NA SI MATUMAINI TENA ....MWALIMU ALISEMA TUSIPOPATA DIRA YA KWELI NDANI YA CCM TUTAITAFUTA NJE YA CCM na AKAONGEZA CCM SIYO BABA...
  7. H

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Mheshimiwa EDO NGOYAI LOWASA mzee wa maamuzi magumu, nakupa BIG UP MZEEEE WE JEMBE MZEEEEE INGIA UKAWA NA sisi wote tunatia TIMU hukohuko na SASA ni safari YA UHAKIKA NA SI MATUMAINI TENA ....MWALIMU ALISEMA TUSIPOPATA DIRA YA KWELI NDANI YA CCM TUTAITAFUTA NJE YA CCM na AKAONGEZA CCM SIYO BABA...
  8. H

    CHADEMA kuasisi mgomo wa madereva ni kwa manufaa ya nani?

    Na hili lifoleni linalonitesa hivi sasa for more than two hrs sijatoka posta ni CDM wanahisika 😄😄 kweli mtu akiishiwa mawazo anaweza kuandika chochote... No vyema ukaisaidia serekali mawazo wakutatua changamoto kuliko kuhangaika Na CDM, CDM wanahusikaje Na mambo haya??
  9. H

    Sina hamu na uchaguzi mdogo

    Pole sana hata mimi nilikuwa na changamoto kama yako lakini nilikomaa na nikapiga kura. Yatupasa kuiondoa serekali hii madarakani sasa tukumbuke mazingira haya magumu ya upigaji kura yamewekwa na serekali hii sasa usipopiga kura utaingoaje?
  10. H

    Sakata la Escrow: limekosa mashiko tena!!

    Hebu nifahamishe uponzani wako wangapi katika hii kamati?
  11. H

    Full Story Juu Ya PANYA ROAD Wa Kigogo

    Hii ni aibu sana ina maana Jeshi letu la Polisi limeshindwa kudhibiti wahalifu hawa wa panya road mpaka tunatumia makomandoo!!! No way hii ni miss using of military resources.... kuna hoja yakujibiwa na wizara husika hapa, hawa vijana walipaswa wakamatwe wapelekwe mahakamani wahukumiwe siyo...
  12. H

    Serikali yatoa onyo juu ya telexfree Be warned!

    Kuna usemi usemao **NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEEK** Serikali ya Tz ni makini , kama viongozi wangekuwa vichwa panzi wangesema straight TELEXFREE ni matapeli, lakini kwakuwa serekali inajuwa gharama ya kuituhumu kampuni kubwa kama hii pasipo kuwa na ushahidi ni sawa na kutumbukiza taifa baharini...
  13. H

    Hivi zoezi la utoaji wa vitambulisho ulikuwa una haraka yoyote kwa sasa?

    WADAU...huwa najiuliza sana hivi zile kashkash na pirikapirika za vitambulisho iliishia wapi sipati jibu... vilevile nimekuwa nikijiuliza ni kwanini tumekimbilia katika zoezi hilo kwa sasa hali kuna priorities kama barabara maji na umeme?...na kama kulikuwa na umuhimu mkubwa kwanini zoezi...
  14. H

    Hivi kumbe manispaa za jiji la Dar zinaweza kushindana kwa usafi na Moshi

    Imenishangaza sana kwa jinsi jiji lilivyosafishwa na kupendeza just for a week...hivi kwa nini haya yalikuwa hayafannyiki? Kitendo cha rais obama kusema nakuja dar...hakukuwa na tatizo la bajeti swala la usafi wa jiji na imewezekana ....au hizo fedha jamani zimetolewa na ubalozi wa marekani?
  15. H

    Ukitaka kujua kuwa chadema wako nyuma ya vurugu za mtwara soma tanzania daima la leo

    Watanzania wenzangu,wito wangu ni kwamba vurugu za mtwara zisipuuzwe, upelelezi yakinifu ufanyike na wote waliohusika katika vurugu wafikishwe mahakamani, sipendelei sana kuhusisha vyama au dini fulani katika mambo haya kwasababu hayo huongeza chuki ambayo siyo utamaduni wa watanzania...
Back
Top Bottom