Hivi kumbe manispaa za jiji la Dar zinaweza kushindana kwa usafi na Moshi

Hhm

Member
Apr 28, 2010
69
14
Imenishangaza sana kwa jinsi jiji lilivyosafishwa na kupendeza just for a week...hivi kwa nini haya yalikuwa hayafannyiki? Kitendo cha rais obama kusema nakuja dar...hakukuwa na tatizo la bajeti swala la usafi wa jiji na imewezekana ....au hizo fedha jamani zimetolewa na ubalozi wa marekani?
 
Viongozi wa tanzania tunaendeshwa na Matukio. We angalia matukio yote ya kitaifa usafi wa kutosha hufanywa lakini bila matukio (Bajeti hazitoshi.)
 
Haziwezi maana si utamaduni wao ni sawa na wale wanaokula wali siku ya sikukuu.
 
Haiwezi kuwa kama moshi maana usafi wetu ni wa kuwaficha wageni who we are. unakumbuka walishawahi kupanda miti mikubwa barabara ya mlimani city ili kupendezesha mji. usafi ni in born.
 
Ni kutokana na kuwa na viongozi wabovu sana, serikali hii ya awamu ya nne inaendeshwa na matukio!
 
Dar bila uchafu haipendezi, Obama anaondoka saa 5 asbh, then pita mitaa mbalimbali mida ya saa 12 jioni ndio utaelewa.
 
Back
Top Bottom