Sakata la Escrow: limekosa mashiko tena!!

andreakalima

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
4,544
2,000
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.
 
instagramboy

JF-Expert Member
Oct 16, 2014
1,522
0
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Pumbafu kama ninyi ndo mnaofanya nchi iendelee kuwa maskini
 
jisanja

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
1,077
2,000
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Nyambafu......
 
mjepo

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
4,913
1,225
Hawa PAC walichemka sana uchawi wa zitto umeisha nguvu sasa.
 
Hhm

Member
Apr 28, 2010
69
95
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Hebu nifahamishe uponzani wako wangapi katika hii kamati?
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,822
2,000
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

uko kijiweni nini wewe
 
makubazi

JF-Expert Member
Feb 15, 2013
2,047
1,195
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Safi sana
 
BPM

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,761
2,000
Hili suala limeshawekwa kisanii na kishabiki na mwisho maamuz ni tofaut na matarajio ya wengi
 
TRUVADA

JF-Expert Member
Jan 6, 2014
4,520
2,000
Ukisoma ripoti za PAC & CAG unaweza kuona jinsi wanasiasa hasa wa upinzani.kiukweli Waziri Mkuu Pinda wakomalie wajibu kwa vihoja vyao mufilisi. Endelea kuchapa kazi watu wasikubabaishe.kisa umetangaza nia ya kugombea urais 2015. Acheni wivu. Wajameni kwenye haki tuseme ukweli.

Mxyuuuu
PINDA awe RAISI na hamia Burundi
Kama uwaziri mkuu umemShinda sasa Huo uraisi utakuwaje?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom