NDALICHAKO WEWE NI PROFESA BWANA
Hebu kaa tafakari hivi kodi iliyokuwa ikiwasomesha imeenda bure?....
Hebu tafakar mlipo kuwa mnasomesha mlitegemea wakimaliza wakachome mahindi?....
Njoo na takwimu wangapi wapo kazini,masomoni na idadi ya wanafunzi iliyopo na uwiano baina ya mwalimu na...
Hakuna anayepinga sekta ya elimu nimoja ya sekta muhimu sana ila ajabu nipale sekta hii kukosa ule mvuto nakukosa hadhi hasa upande wa umma.
Haiingii akilini wamachinga wapige kelele kidogo tu mkuu wa nchi aingilie kati kwa kuwakingia kifua kwa kisingizio hao ndiyo waliompa kura.
NYINYI WALIMU...
Nianze na hili la mfumo wetu wa elimu maana kama tukiliacha liendelee hivi ni matarajio yangu hakuna kipya tutakacho kitarajia katika elimu.....
Mfumo wetu wa elimu upoje?
Kwanza mfumo wa elimu ni utaratibu unaowekwa ili kufikia malengo na dira ya elimu katika eneohusika....
Mfumo wetu wa elimu...
MH.NDALICHAKO HII SIYO NECTA
Kwa kipindi cha miaka tisa alifanyakazi ya katibu baraza la mitihani japo marachache nyuma alioneka akifanya masuala ya utafiti na shirika la elimu la aghakhan.Siukatai uwezo wake mkubwa kipindi hicho cha nyuma ingawa amepata bahati baada ya kutoka masomoni anakutana...
Mji wa New York uko masaa 3 mbele ya mji wa California lakini haimaanishi kuwa California ni mji ambao uko slow wala New York sio kwamba uko fast miji yote inaishi kwa kutegemea TIME ZONE.
Kuna mtu mpaka sasa yuko single na mwingine alioa mapema tuu na kusubiri miaka 10 kupata mtoto na yupo...
Mwanzoni mwa mwaka huu baada tu ya raisi JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI kuapishwa kuwa raisi alitangaza rasmi azma yake ya elimu bure kama alivyoahidi kupitia ilani ya chama cha mapinduzi katika kampeni zake za uchaguzi....
Ifahamike kuwa kwa kipindi hiki alikuwa hana waziri hata mmoja bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.