Recent content by hezron23

  1. H

    Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

    Nipo shinyanga ndugu
  2. H

    Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

    Shukrani Sana kaka kwa mchango wako najua Mungu atakuzidishia ulipotoa umenisave sana
  3. H

    Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

    Mungu akubariki Sana ndugu yangu hapo ulipotoa akakuzidishie zaidi na zaidi
  4. H

    Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

    Yeye anasema serikali haidhulumu mtu ko nijitahidi kuvumilia maana sio Mimi tu ambaye sijapata mshahara.
  5. H

    Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

    Nilitaka kufanya hivyo Ila mkuu anatoka mbali na shule kwenda na kurudi 4000 huko anakokaa hivyo kwa watu wawili alisema hio bajeti ya nauli hataweza
  6. H

    Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

    Niliongea naye kadai kuwa mtu ambaye hajalipwa mshahara sio ww tu na lingine alisema yy anaruhusiwa kutoa ruhusa ya siku mbili tu ndo maana nataka niamue kwa mawazo yangu nistop kwenda kazini kwa muda hata bila taarifa rasmi.
  7. H

    Napitia kipindi kigumu kuliko kawaida

    Kwa kuanza kabisa Mimi ni mwalimu wa primary ajira mpya kwa hii intake ya Desemba! Nakiri wazi kuwa tangu nimalize chuo mwaka 2016 ndo nimebahatika kupata ajira mwaka jana lakini Hali yangu kimwili, na kiakili kwa Sasa haijakaa sawa kutokana na changamoto ninazopitia. Kwanza naomba niweke wazi...
  8. H

    Airtel ni wezi na hii nina ushahidi na mahali popote nipo tayari kutoa ushahidi

    Habari za leo wana JamiiForums! Kwanza nianze kwa kusema sisi ambao kula yetu inategemea internet tumekuwa wahanga Sana wa unyonyaji unaofanywa na mitandao ya simu , binafsi nitajikita kwenye mtandao wa Airtel maana ndo nilikoshuhudia kwa macho yangu na ushahidi ninao Mchezo ulikuwa hivi ...
Back
Top Bottom