Recent content by hezron magwesela

  1. H

    Mbatia: Hauwezi ukafuta uchaguzi wa Zanzibar ukaacha uchaguzi wa Jamhuri ya muungano

    Kuna mgogoro WA kikatiba hapo, tujiulize swali hili kama uchaguzi zanzibar haukuwa WA huru na haki na kupelekea kufutwa kwa uchaguzi na matokeo yake. inakuwaje kura za jamhuri ya muungano kutoka zanzibar kuwa in harali hali wakala WA NEC zanzibar yaan zec wamekiri uchaguzi Huo ni batili.tuache...
  2. H

    Kikwete atimiza asilimia 80 ya ahadi zake ndani ya miaka saba ya utawala wake

    Mleta mada sikakuelewa. Magufuri kwenye hotuba zake anasema anashangaa Huduma kuwa za afya.elimu.miundombinu.maji nk. Kuwa mbovu na anakiri wazi watanzania wanahtaji mabadiliko ya dhati ya maendeleo Leo unasema tu hovyohovyo. Je shilingi kushuka thamani na madhara yake Nayo ni maendeleo?
  3. H

    YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Watu walikuja kucheki shoo ya diamond. Wakapewa na kanga na vitambaa. Nani kawaambia ccm kuwa watu wanaitaji burudani. Mi nasema watu wanahitaji utendaji WA kutatua matatizo yao. watu walikuja kucheki shoo ya diamond.
  4. H

    Mgombea urais wa ACT-Wazalendo ni Samson Mwigamba

    Jamani nauliza hivi chama cha UDP na TLP Vipo Tanzania hii?
  5. H

    Tundu Lissu kumrithi Dr. Slaa

    Baada ya mambo kuharibika mbona ccm mmeacha kumtambulisha magufuri mikoani ikakomea mikoa michache tu na misheni ikayeyuka baada ya NEC kuwapa soma bado wakati WA kampeni. Mleteni arusha.
  6. H

    CCM Thibitisheni sasa, Je Hawa ni Mafisadi au si Mafisadi?

    Vua gamba ilikuwa na maana gani? Na nani aliianzisha?
  7. H

    Ikulu si pango la majambazi na wezi

    Kama sio pango la wanyanganyi. Nipeni Maelezo lizone kapata WAP Mali hizo zote kwa mda huu mfupi. Mfumo mmeuweka wenyewe Leo hii mnajikataa.
  8. H

    Nadhani hiki ndicho kilichoogopwa kusemwa na CCM leo peacock hotel

    Kwa miaka mingi hiyo usalama WA taiga usiwe ma Maelezo ya wapi lowasa kapata Mali, intelligencia ya nchi itakuwa useless.kwa miaka hiyo hamkumshtaki wanasheria WA serikali no useless. Jk alitumia fedha nyingi kupata urais Leo lowasa kutumia fedha imekuwa tatizo.? Think beyond ccm sio chama cha...
  9. H

    Halmashauri ya Wilaya Geita na Mchezo Mchafu Katoro

    Eee mungu wasaidie vujana hawa wasiwe na visasi wapatapo kazi serikalini.kwa kuiba serikalini kulipiza taabu na dhuruma wanazozipata saivi.
  10. H

    Lembeli: Walitaka kunihonga millioni 50 Nifiche mauaji ya Tokomeza, Bulaya akaniambia kataa

    Taja kashifa za lembeli kama unao uwezo.kembeli hapendi rushwa na wanakahama tunajua hilo.
  11. H

    CHADEMA kugeuka dampo la wanasiasa rejected

    Acha mawazi finyu hujui kuwa rejects na wastes ni raw material na ikifanyiwa recycling hutoa products zingine nzuri tofauti na awali?
  12. H

    Tundu Lissu ahutubia wakazi wa Geita Mjini katika viwanja vya Nyankumbu

    Nipo geita wtu wlikuwa wengi sana na sio utani. Habari ya kweli nyingine ni kuwa baadhi ya wafuasi WA ccm kutoka vijijini walitelekezwa Jana na kulazimika kulala jumba la abiria stendi geita na wengine madarasani bila kupewa Huduma muhimu kama maji na chakula
Back
Top Bottom