CHADEMA kugeuka dampo la wanasiasa rejected

CHADEMA kugeuka dampo la wanasiasa rejected

Kama ni makapi au takataka kwa namna ulivyoeleza mbona CCM haikuwafukuza katika chama chao au sizitaki hizi bichi baada ya jijihada yako kushindwa ?!!
 
Kama ni makapi au takataka kwa namna ulivyoeleza mbona CCM haikuwafukuza katika chama chao au sizitaki hizi bichi baada ya jijihada yako kushindwa ?!!

Makapi hayo yalishajipima na kujitathmini na yalijua tu wasingepitishwa kwa sababu mbalimbali wakatangaza kujitoa. Ni makapi tu, ina maana EL angepata nafasi wangetangza kujitoa!?
 
Huyu mleta mada anamaanisha watu wanaookoka na kumpokea yesu in ma rejects toka kwa shetani...!!!! Duuuh
 
Kwa kuwa ID yako ni mfungwa inawezekana kabisa wewe ni mfungwa KIAKILI yaani Ubongo wako umefungwa.
Kawaida mtu unena yaliyomo ndani ya moyo wake, kama nimekwambia umenijibu kwanini unanieleza tena. The mind normally transcends according to the aprior mind of the essence of the object of fabrication reasoning used by the object itself without which the reasoning used as the matter of the issues together with the posteriore principles of viewing panoramic mind can lead to the matter to adapt it's own line,but this depends on the docile of the reasoning tendencies of the object itself hence forth the reality is trully detected transparently and this is direct one.
 
chadema watakuwa kama ccm wakiendelea kupokea makapi chama hiki mpaka kimajulikana kilikuwa na watu ambao wamejitolea kwa hali na mali kukijenga wengine wakipoteza maisha yao, hao wanaokuja sasa hivi wengi ndio walikuwa wakiwakejeli chadema kwa kifupi sio wanamageuzi ila wanaangalia fursa na wakiendelea kuwakumbatia wakipewa nafasi hawatakuja na jambo lolote jipyayale ya shibida yatajirudia
 
chadema wanasubiri ccm wamalize uchaguzi ndani ya chama chao ili wachukue makapi(rejects,oil chafu),kuna tetesi wanataka kuchukua Oil chafu ya Monduli ndio iwe mgombea Urais then wanasubiri kura za maoni za ubunge na udiwani ndani ya ccm wachukue rejects(makapi,left overs)

CCM ndio wanangoja makapi ya CHADEMA.

CCM wanasubilia waliochujwa kugombea ubunge katika kura za maoni zinazoendelea nchi nzima katika chama cha Demokrasia, ili wawapachike kugombea ubunge CCM.

CHADEMA inaendelea na kura za maoni nchi nzima ilhali CCM inangojea makapi ya CHADEMA ili iyachukue kuanzia Tarehe 1/8/2015

Mwaka huu CCM wataula wa chuia!
 
Acha mawazi finyu hujui kuwa rejects na wastes ni raw material na ikifanyiwa recycling hutoa products zingine nzuri tofauti na awali?
 
Watu wengine bwana kwani wanachama Wa ccm kabla ya kujiunga walitoka chama gani?
 
Back
Top Bottom