Kuna huyu ndiye kakubuhu vya kutosha. Yuko facebook. Anatangaza kuuza pembejeo kwa bei ya kutupa. Ningeomba Wizara ya Kilimo ifatilie. Kaumiza wengi.
Mod naomba usiifute.
Natamani hizi harambee zingekuwa zinaitishwa kusaidia matatizo ya wananchi.
1. Hebu angalia mgogoro wa jana pale Moshi. Jamaa wanagomewa maiti kisa laki 9.
2. Hebu angalia vifurushi vya bima ya afya. Sky rocketing. Wengi tunashindwa.
3. Angalia barabara ya mtaani kwenu, je ni haki ikawa hivyo...
Vijana naona wataanza kuikwepa fani ya civil engineering. Kila kiongozi ni mtaalamu wa ujenzi. Poleni wale mlokwisha tumbukia. Nawaonea huruma mainjinia huko kwenye halmashauri. Kama injinia hajaguswa ujue wilaya haina mradi wa ujenzi. Wale mainjinia wa maji waliponea chupuchupu baada ya kuhamia...
"If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong."
"If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong."
"If you do not know how to manage your game, you pay the price," Amunike said. "There were a lot of crazy things going on and we committed a lot of mistakes. Our positioning was wrong, our marking was wrong." Amunike
Inaweza kuwa ni miaka 15 hukumu 10 concurrent. Na pia usisahau formula ya gereza mfungwa akiingia wanapunguza one third labda akifanya kosa gerezani huwa zinarudishwa kidogo kidogo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.