Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,775
- 2,389
- Thread starter
- #21
Kwa kweli wanapotosha maana nzima ya kukimbiza mwenge wa uhuru.Aisee, kazi ipo, hapo utakuta standard seven lakini anajifanya injinia wa barabara ,mkuru akiona ivyo lazima ampe UDC
Ni vema wakafundishwa filosofia nzima ya maana ya kukimbiza mwenge.