Recent content by HesabuKali

 1. HesabuKali

  Pascal Mayalla alimtabiria Paul Makonda kuwa mgombea urais wa CCM 2025. Je, unabii wake utatimia?

  Yaani Daud awe Rais wa nchi hii?? Kwa taarifa yako kama Rais wa nchi hii lazima atoke CCM basi atakuwa jamaa kutoka Zanzibar. Halafu Mayala hakuwa mtu pekee kumtabiria Magu sema tu kwakuwa aliandika hapa basi mnaona kitu cha ajabu na kibaya zaid ameshindwa kujitabiria mwenyewe na jamaa yake Daud...
 2. HesabuKali

  Ajira za walimu changa la macho

  Kutoboa TOEFL na kupata scholarship Europe na kwenda kufanya MSc US ndio kuwa na akili? TOEFL kitu gani wewe? Unafikiri kufaulu huo mtihani ni kipimo sahihi kuwa unajua hiyo lugha vizur kuliko ambaye hajafanya? Uliyemuita IDIOT na fool naamini ana akili kukuzidi wewe. Halafu hi Bsc with...
 3. HesabuKali

  Viongozi 20, Balozi 83 kushuhudia kuapishwa Rais Mteule Dkt. Magufuli

  Zimbabwe, Uganda na Comoro!! Halafu dhehebu jipya la CCM wanasema huyu ni Rais wa Afrika na anakubalika duniani kote.
 4. HesabuKali

  Kwa matokeo haya tujiandae CCM kubadilisha katiba bungeni ili Magufuli atawale milele

  Kwakuwa CCM ni Watanzania ngoja wabadili katiba halafu maumivu tunapata wote
 5. HesabuKali

  Uchaguzi 2020 Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu

  Kama ulishindwa kusikia sauti moyoni mwako kuwa utaenda kushindwa kwa aibu kwenye kura za maoni Kawe unapata wapi ndoto za kusikia sauti ya ushindi kwa CCM Zanzibar? Ni raia mpuuzi tu ndio anaweza kuamini kuwa CCM itashinda Zanzibar eti kwa kishindo.
 6. HesabuKali

  Uchaguzi 2020 Nilikuwa siamini, sasa nimeamini uchaguzi huu ni muhimu sana

  Inafikirisha mgombea anayedaiwa kuwa atashinda kwa 90% anazima mitandao kuogopa 5% kwakuwa 5% nyingine ni kutoka matawi yao ya TLP, UDP na vitakataka vingine
 7. HesabuKali

  Uchaguzi 2020 Nini kimewapata wapiga debe wa CHADEMA mitandaoni, Wamepoa ghafla , au ni baada ya kupima upepo?

  Katika dhambi kubwa nitafanya hapa duniani ni kuipigia CCM kura. Mungu anilaani kama nitajaribu hata kuwazia hilo.
 8. HesabuKali

  Uchaguzi 2020 Propaganda mfu za CHADEMA ni dalili tosha kuwa wameshindwa uchaguzi

  Kuhusu wizi wa kura hilo halina mashaka kabisa na ushahidi upo kabisa. Kwanza CCM mjue wasimamizi wa uchaguzi ni binadamu na wengine ni wake/mademu zetu, siri mlizowapa jinsi ya kwenda kupindua meza tunazo mfukoni. Pili tunajua 90% ya wasimamizi wa huu uchaguzi ni Makada wa CCM na wameahidiwa...
 9. HesabuKali

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

  Yaani unaona kuazisha uzi nako ni jambo la maana sana? Aisee kweli vita ya ujinga bado ni ngumu mno.
 10. HesabuKali

  For the sake of National Unity, Je tumshauri Dkt. Magufuli aahidi kumteua Tundu Lissu kuwa Mbunge?

  Umeshindwa kumshauri afate katiba ya nchi unahangaika kumshauri kitu ambacho wala hana hata nia nacho kwani alishasema tayari. Kama unataka haya yafanyike mshaurini alete katiba mpya tu ili hizi ngonjera ziishe. Rais Magufuli inajulikana hashauriki na nyinyi mnaojifanya kumshauri mnajua pia...
 11. HesabuKali

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

  Wapi nabishana na wewe? Huo muda wa kubishana na mlemavu wa akili naupata wapi? Wewe ndio umekurupuka kuja kujibu, sasa taahira ni nani hapa? Kwanza umeanza kuamini kila anayeipinga CCM ni upinzani ndio maana nikasema CCM kuna wajinga wengi ukiwa mmojawapo.
 12. HesabuKali

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

  Haihitajiki idadi ya wabunge CCM kuondoka madarakani, unafikiri walioondoka ilikuwa idadi ya wabunge? Unachotakiwa kuelewa tu ni kwamba CCM kuna kundi kubwa la wajinga na ukitaka kuthibitisha angalia Rais anavyohangaika kuwabadilisha na amekiri mwenyewe kuwa bado. Ujinga ninaouzungumzia hapa ni...
 13. HesabuKali

  Mama Dangote amtolea Uvivu Hamisa Mobetto

  Kama kamtolea uvivu ni jambo la kheri kwa Hamisa mbona huo uvivu aliokuwa nao ulikuwa unamrudisha nyuma, ukimuona Mama Dangote mwambie aje hapa anitolee uvivu mbona nataka kupiga kazi kweli kweli niwe kama Mjomba Shamte
 14. HesabuKali

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

  Sasa kwa akili zako tu za kuvukia barabara CCM 2015 haikupoteza? Hivi unafikiri miaka 25 ndio mwisho wa Tanzania? Kwani upinzani ulianza na wabunge wangapi? Kwani mpasuko wa 2015 uliosababisha CCM kupoteza majimbo mengi ulisababishwa na nini? Kama mnatumia akili kipi kinawafanya mhangaike na...
 15. HesabuKali

  Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

  Wakati CHADEMA wakipoteza kila kitu ambacho kwako wewe ni Urais, Ubunge na Udiwani, sasa kaa ukijua ni muda muafaka kwa CCM kupoteza pia. Kupoteza kwa CCM kunaeleweka na watu wenye kutumia akili tu na kwa CCM wapo wachache mno ambao hawana sehemu ya kusemea hatari hiyo kwani wamezungukwa na...
Top Bottom