Magufuri kasema kuanzia tarehe moja mkoa wa pwani na rufiji mashambani akuna mtu kwenda hapo ni vita kuwasaka waasi wa pwani jeshi litafanya Kaz yake Serikali ikiamua akuna kinachoshindikana siku ya kifo Chao nao watajuta
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Ni lazima Kuna chanzo mkoa wa pwani kwani Mauaji Hayawezi kufanyika au kuendelea ni lazima hao wauaji Kuna haki Yao wanaipigania hivyo Serikali lazima ifunguke kwenye vyombo vyake vya Dora kama Kuna Mambo waliwafanyia watu kipindi cha nyuma kabla kuanza kutokea kwa Mauaji Haya yanayoendelea sasa...
Natafuta kazi ya udereva leseni yng ni A. B. C. C1. C2. C3. D. E. F. G nipo dar es salaam Tanzania ajira ni ngumu wakuu naitaji mtu wa kunisaidia nipate kazi Hata kumuendesha mtu fresh tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.