Recent content by hero2002

  1. H

    JamiiForums Tanzania Weekend Story: You Can't Handle The Truth

    Best story teller lara1
  2. H

    JamiiForums Tanzania Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Ahsante sana lara1.........story tamu na inafundisha....Mungu akubarik sana na aendelee kukupa kipaji zaid na kufungua milango
  3. H

    JamiiForums Tanzania Weekend Story: The Art of Staying Married! (The grass is always greener on the other side)

    Story tamu sana lara1 above all ina mengi yakufundisha
  4. H

    JamiiForums Tanzania Weekend Story: YANGA! (Naipenda yanga shabiki wa damu)

    Story tamu sna lara.....ww ni best story teller
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wote wanaotoka CCM hawajiungi na CHADEMA moja kwa moja?

    Issue co kuhama kwenda wap......issue ni je maendeleo yatakuja km tukiwapa nafas ya kuongoza.Reality chama tawal kimeshindwa kutimiza matarajio mengi ya watanzania kwa kias kikubwa ndo maana tunahitaji mabadiliko........
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    ahsante sana kiongoz
  7. H

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu zoezi la uhakiki taarifa za Mpiga kura

    ukitaka kuhakiki jina lako unafanyaje?
  8. H

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kukatwa kwa Lowassa, ni mwisho wa ile safari, au ni mwanzo wa Safari Halisi ya Matumaini?

    muungwana hanuni kwa mashavu hununa moyon kubalin yaliyotokea team lowasa.Kama hamtaki hamen chama hiyo ndo njia pekee ya kuonesha kutokubaliana na yaliyotokea
  9. H

    JamiiForums Tanzania GE2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    ukisukiliza wimbo wa waite wa mpoto utajua yaliyotokea jana kwa lowasa kukatwa yameimbwa humo
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ukimwona mtu anapinga uundwaji wa Sheria ya Gesi na Mafuta muogope kama ukoma

    hamna aliyepinga kuletwa mswada tatizo wabunge wanahitaj muda wa kuusoma na kuuelewa ili watoe michango stahiki na si kuburuzwa tu......kwa jinsi gas ilivyo sensitive kwa uchumi wetu na vizaz vijavyo hamna haraka kias hiki kupitisha mswada huu kwa sababu tukikosea tena yatatukuta yale ya kwenye...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Petroleum Act, 2015 (Muswada wa Mafuta na Gesi) - Uchambuzi

    naona wafanyabiashara wa media wana nguvu kuliko wabunge waliochaguliwa na wa.anchi kwa sababu wao waliweza kuzuia mswada wa sheria wa habar na wakasikilizwa ila wabunge wa upinzan imekuwa ngumu cjui kuna kipi kimejificha mpaka nguvu nyng kias hiki itumike kupitisha mswada huu.Hii inafanya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    mmmmh...........kweli watanzania tumerogwa.Leo mtu ambaye alisema ataelezea kilichotokea kwenye richmond na kushindwa kufanya hivyo pale alipopata nafasi eti anautaka urais na ss tunamsupport?hii ni aibu kwetu ss na vizazi vijavyo vitatulaumu na kutulaan kwa kuuza nchi kwa fisadi kama lowasa na...
  13. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    ngoja tusubir anayefuata jmakamba......huyu hamna kitu.Hata mtu ambaye hajasoma anawwza toa speech km hiyo....ni mwepesi sanaaaa
  14. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    hana sera yyte aliyoongea.......speech mbovu ambayo haichambui dira ya yale atakayofanya.....
  15. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    mmmmh........cjawah ckia speech mbovu ya mtia nia kama hiii
Back
Top Bottom