Recent content by herman kajiru

  1. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Kumbe IMMMA Advocates wanawatetea Acacia Katika kesi huko London UK dhidi ya Serikali ya Tanzania!!

    Wavamizi wa taasisi binafsi wanaofahamika ndiyo hao hao wanaendeleza kazi zao associating from chuki zao. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tusishabikie maamuzi ya kijinga kwasababu tu yamefanywa na Rais

    Way forwards zitoke. Hili suala ni la kitaifa zaidi ya ki-vyama. Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
  3. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Theresa May asema atatumia nyuklia hata kama nchi yake haitakua hatarini

    For NATO it's better than good, unlike for NORTH KOREA.. Hypocrisy of the highest premium status. This implies. MWEWE kumla panya ni sawa ila kifaranga kuliwa na MWEWE ni tatizo la kiasi cha kushindwa kuelewana.
  4. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    Yaani siyo kabisa.
  5. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    Kwa fikra kama hizi ndiyo maana Tanzania tunazidi kuwa masikini. Ni nani aliwaambia kuwa Mbunge ni Provider? Hebu rejeeni majukumu ya Mbunge.
  6. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Last respects

    You are welcome.
  7. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Last respects

    You welcome
  8. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Last respects

    Sure ....
  9. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Fikiri juu ya hili unaweza kubadilika

    Obama aliwahi kuwa mvutaji bangi, akaacha na kuamua kuwa makini na masomo yake ya sheria katika Chuo Kikuu cha Harvard, alisoma na kufanya kazi kwa bidii hadi pale alipofanikiwa kuchaguliwa kuwa Rais wa kwanza Mwafrika na Mmarekani mweusi (Black African-American President) katika shule ya...
  10. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    Hahaha! Hongera sana Mkuu. Ila unatakiwa umtafute sasa umuoe maana nikizihesabu hizo jumamosi kwa mwaka mzima ni kama ulioa bila kutoa mahari
  11. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    Ndiyo maana.
  12. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    Kizazi cha digital
  13. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    Kitambo sana hii.
  14. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    He he! Chura kapigwa teke ilikuwa
  15. herman kajiru

    JamiiForums Tanzania Enzi zetu: Mpenzi wangu nikupendaye kwa dhati

    Dah! Kweli a see, hiyo yote uoga wa kuji-state.
Back
Top Bottom