Ya kuoga balaa. Sisi tulikuwa tunaenda bafuni, unanawa miguu mwisho magotini, mikono, kichwani unarashia maji ili mama ajue tumeshaoga. Siku nyingine si mama anashtukia unakaguliwa. Bas anafunua nguo hadi mapajan anakuta kuanzia gotin kwenda juu umechafuka vumbi ukizingtia umetoka kucheza rede...