Msaada wa mawazo

Msaada wa mawazo

Ningekua mm ningeacha kulalamika na kufanya mambo ya msingi ili nijikwamue na mtoto
 
WanaJF msaidieni binti huyu kwa mawazo yenu.

Mzazi mwenzake hataki kumtunza mtoto.

Waliachana baada ya kutoelewana lakin wakakubaliana kumlea mtoto.

Ni mwaka sasa baba hatoi chochote, akipigiwa sm hapokei wala sms hajibu.

Nashindwa kumuelewa maana kipato changu ni kidogo mno.

Ingekuwa wewe ungefanyaje?

Huyo ni binti yako au mkeo heb fafanua hapo
 
Back
Top Bottom