Barua ya kuomba kazi.... Na ahadi za ajira millioni moja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Barua ya kuomba kazi.... Na ahadi za ajira millioni moja

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Fredwash, Apr 5, 2012.

 1. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2012
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 566
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  Oune ni jinsi gani watu walivyochoka na kusaga lapa la kutafuta ajira na huku Ajira hakuna na zinazopatikana undugu naizesheni mwingi. KIKWETE unaona barua hii. Huyu jamaa kaniacha hoi kama tumefikia hatua ya kuanza kufatilia kwenye kampuni nani kafa nani kaacha kazi. JAMANI MAGAMBA TUACHIENI INJI YETU...

  application letter.jpg
   
 2. h

  heriedo Member

  #2
  Apr 6, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah! Hili kali.
   
 3. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 767
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  hii yeneyewe sasa cjui watamwambiaje safari hii coz vacancy ipo
   
Loading...