Recent content by Heri

  1. H

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri Aweso kama kuna mgao wa maji Dar mtuambie, maji unayojitapa yapo ya kutosha hatuyaoni mtaani

    Kama mitambo ya Ruvu Juu na chini ni mibovu toa taarifa pamoja na ya Wazo. Kama hamuwezi rudisha Wachina. Tuache siasa.
  2. H

    JamiiForums Tanzania KERO Dawasco Mbezi Kunduchi Bahari Beach hamna maji

    Katibu Mkuu - Maji na Waziri Maji, ni karibu mwezi sasa hatuna maji ya uhakika. Mafundi wanadai kuwa mitambo ya maji Wazo ni mibovu na hawajui lini yatapona. Ushauri wanao toa ni kuchimba visima kama unaweza na kuchimbia simtank.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Leseni ya udereva ukifuata utaratibu itachukua wiki zaidi ya mbili kuipata lakini ukihonga waipata siku hiyohiyo

    Chai . Renewal period ni miaka mitano na siyo mitatu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Maisha Kitendawili: Ni sahihi IGP mstaafu kuwa mkuu wa mkoa, kama ilivyo sasa kwa Sirro?

    Hii siyo mara ya kwanza. Go back to history enzi ya mwalimu . P.N Mgaya. RC Tabora
  5. H

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tangu jana hakuna umeme Kunduchi.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ukisikia majaribu ndio haya, yupo degree mwaka wa pili, kaitwa kazini serikalini kazi ya Diploma, aghairi au aende ?

    Kwani diploma ni ya nini na degree ni ya nini?
  7. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Biashara Selemani Jafo aunda kamati kwa ajili ya kuchunguza utitiri wa wafanyabiashara wa kigeni Kariakoo

    Tatizo siyo wageni kufanya biashara ila ni wafanyabiashara wazawa kutaka kuendelea ku exploit watu with unreasonable and inferior quality products. Watanzania waliopo China nao wafukuzwe eg Silent Ocean
  8. H

    JamiiForums Tanzania NMB rudisheni huduma ya salary advance

    NMB luku payment system has also failed since yesterday. Call Centre/Customer Care has also gone on Xmas leave
  9. H

    JamiiForums Tanzania Video: Vurugu zazuka Kinondoni baada ya raia kugoma mwenzao kuchukuliwa na Polisi wakihofia Polisi huyo kuwa mtekaji

    At the end of the day kama ni muhalifu watamuweka ndani
  10. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta music academy kwa hapa dar

    Try Koshuma Training Institute. Google it for more info
  11. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta music academy kwa hapa dar

    Unakaa wapi
  12. H

    JamiiForums Tanzania SAUT pekee ndiyo Chuo Kikuu kisichojipendekeza kwa wanasiasa kwa kutoa PhD zisizo na maana

    Yule Dada wa RC alikuwa a anasoma wapi?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tayari limempata Niffer kwa kuchangisha michango ya wahanga wa Kariakoo

    Wahanga hawana sababu ya kuchangiwa. Mosi ni wafanyabiashara wangetakiwa kuwa na bima kwa ajili ya wafanyakazi na Mali. Pili mwenye jengo anatakiwa kuwa na bima kwa ajili ya tenant's and should give compensation for his wrongdoing. City Father's should have been following what is happening ie...
Back
Top Bottom