Recent content by heretostay

  1. H

    PreGE2025 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti achafukwa, asema hadhi ya Heche ni kukamatwa na mgambo sio polisi, aahidi kumpelekea moto akigusa Kisarawe

    James Hadley Chase: Just a matter of time...Make the corpse walk... Have a change of scene.... Da! Umenikumbusha mbali Mkuu
  2. H

    Tellers' kwenye benki zetu wanatuibia pesa zetu bila aibu

    Issue ni kwamba unatoa mil 7 kwa mfano, hapo wamekuchanganyia na elfu tano tano, pa kuhesabia ni palepale counter na pembeni anahudumiwa mtu mwingine na wateja wengine wanakukodolea macho. Mimi nilipigwa benki moja kijitonyama sayansi. Yaani anakugeuzia kabisa mashine uone lakini kumbe wakati wa...
  3. H

    PreGE2025 Prof. Mkumbo mitano tena Ubungo

    Ya kwangu ataipata atakapomaliza suala la wapimaji wa ardhi Mabibo Makuburi wanaotuzungusha mwaka wa nne huu bila hati. Maana mnatoa kauli tu hamfuatilii.
  4. H

    Daktari anasoma miaka 5-7 na mhandisi anasoma miaka kati ya 3-4 lakini ona tofauti ya mishahara kati yao hapa chini

    Unakuta dk ana deiwaka hosp 2 za private, akimaliza kazi serikalini anavyoondoka mbio huku akipeperusha koti jeupe ni hatari. Ndiyo maana wengi ni antisocial, hawana muda.
  5. H

    Yuko wapi Mbiki Msumi?

    Amekunja ndita anasikilizia.
  6. H

    Nilichojifunza kwenye kisa Cha mtalaka wa Arnold yule gwiji wa terminator , wanawake wameshindikana

    Mkuu mmelishwa tango pori. Anold Schwarzenegger ndiye aliyezaa na bekitatu wake. mkewe akadai talaka.
  7. H

    Nilichojifunza kwenye kisa Cha mtalaka wa Arnold yule gwiji wa terminator , wanawake wameshindikana

    Hata mimi najua hivyo na nilishangaa sana mtoa habari alivyokurupuka mno na kuanza kuwalaumu wanawake. Labda ashawahi kuvurugwa.
Back
Top Bottom