Jamani Mimi sina chama lkn wakati mwingine tusidharau mawazo yanayotoka kwa mtu haijalishi ni wa chama gani. Sasa Tanzania hapa kwetu kwa ACACIA tumepata faida gani? Tungeeunganisha nguvu zetu kwa umoja bila kujali chama na kuangalia mikataba yetu iliyowekwa hapo awali ili tuone kama kuna jinsi...
Yani Acha huku Kilimanjaro ni majanga. Samaki hatuli tena maana Nyumba ya Mungu imefungwa, ukikutwa na samaki no shida Kubwa. Wananchi wa Hali ya chini tupo matatani. Nadhani serikali ingekuwa inafunga upande mmoja mwingine uachiwe ili wananchi wapate Kitoweo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.