Kifo cha tajiri wa mabasi ya Super Sami: Mke mdogo asema rafiki wa marehemu huenda anahusika

dah, hata mm nmeshangaa, watu wanapenda kuibebesha mzigo serikali. Utajiri aliouacha jamaa mbona unatosha kusomesha na kulea watoto
ACHA kabisaaaa tatizo sio Mali ...tatizo ni akili mkuu ""
shangaa wewe waona mtu alikuwa na Mali kibao amekufa na kuziacha lakini mtu analalamika kuwa ameachwa ktika wakati mgumu ...eti anawatoto watatu ambao hajui jinsi ya kuwalea....wakati wana kampuni ya usafirishaji na bado hatujui ana Mali zipi nyinginezo ....
 
Kwenye biashara ukiwa mlaini utachelewa hasa biashara za pesa ndefu zinazohusisha magenge (cartels). Lazma uwe mbabe sana na uwe mafia ila mwisho wa siku unakufa kifo kibaya sana. Refer Erasto msuya and co.
Duh, vipi kesi ya anathe na Miriam je?
 
Siku hizi ukiwa na pesa ni ndoa za Mitala tu uwe mkristo uwe muislamu
kuna wazee niliwahi kuwasikia wanasema ....wanaume tunatafuta Pesa ..kwaajili ya kujenga .kuwekeza..kuvaa vizuri..kula ..na kufnya umalaya .......hahaaa
 
Kwa nini macho yake yasingechukuliwa kwenda kufanyiwa uchunguzi wa kisayansi nje ya nchi kuona watu waliomuua maana nasikia macho hupiga picha kama camera?
Kuna mtu aliwahi kunidanganya hivyohivvyo, ila sio kweli hakuna kitu hicho kwenye macho wala kisayansi
 
Kwelii maisha huyu bi mkubwa nadhani akili yake haitumii ipasavyo mtu ameacha utajiri kede kede badala ya kuwaza jinsi ya kuendeleza apate ada ya wanawe anasema serikali imfikirie? shida kuoa mwanamke sura aisee na hapo ukute hakuwa anajua ticket wala bei yake... shida haswa nini lakini siku hizi kuna wanawake wa aina hiyo kweli?
Ukute mwanaume akubali kukushirikisha anachofanya, unakuta hakuruhusiwa kushika chochote!
 
Eti wanamfahamu kwa jina la Anko...
Sasa tutampataje,kuna maanko wangapi hii nchi?.

Mtu anapokuja kwako na tena hadi kulala sharti utambue vizuri,tena kama mtu mwenyewe humpendi.

Jamaa atakuwa katekwa na mtu wanaefahamiana sana kiasi cha kumchukua kwenye gari na kuendelea kudrive bila wasiwasi..
 
Ukifatilia sana ,utagundua ni mmoja ya wanawake wake kahusika !!.

Imenikumbusha Tajiri mmoja maarufu. ,, ambaye ilithibitika mkewe mdogo sababu anatembea na rafiki wajamaa ndo wamemgeuka.
 
Back
Top Bottom