.....![]()
Kwa ufupi
“Nawaomba mumchague ili aungane na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na mimi mkuu wa mkoa ili tuendelee kuwaletea maendeleo.”
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametumia mkutano wake na wananchi uliofanyika leo Februari 10, 2018 katika ukumbi wa Diamond Jubilee kuwapigia debe ‘kiaina’ wagombea ubunge wa CCM majimbo ya Kinondoni na Siha.
Akizungumza katika mkutano huo wa kupokea na kusikiliza malalamiko ya wananchi wa Dar es Salaam, Makonda amewataka wananchi kuchagua wagombea wa CCM katika uchaguzi wa ubunge Kinondoni na Siha na katika kata 9 unaofanyika Februari 17, 2018.
“Nasikia wana uchaguzi hivyo wananchi wawachague wagombea wa CCM ili waendelee kupata maendeleo. Kuna kijana anaitwa nani vile… Mtulia ..eeh anaitwa Mtulia. Ameangalia ameona watu wanavunjiwa nyumba zao, ameamua ajiunge na CCM ili wasiendelee kuvunjiwa badala yake wapate nmaendeleo,” amesema.
“Nawaomba mumchague ili aungane na mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na mimi mkuu wa mkoa ili tuendelee kuwaletea maendeleo.
![]()

Umerogwa wewe
.....Kwa hiy kuvunjiwa nyumba sababu halisi ni kutochaguliwa Mbunge wa chama cha wahuni eh!?
ground nzuri ya petition mahakamani. Intimidation to voters
6. Whether or not at Runazi, Nyarubungo, Biharamulo town and Rusahunga polling stations votes were intimidated, discouraged misled as well as scared
hence were so many spoilt votes and blank papers to the effect that the elections were not free and fair.
.....Hivi mna habari kuwa watumishi wa umma wakinondoni walifanyiwa promotion,tofauti na watumishi wengine nchini ambao wanasubiria huenda promotion zao zikawa mwishoni mwa mwezi huu??...,
Na huku wajanja wakilamba miguu ya washamba hao ili mkono tu uende mdomoninchi inaendeshwa na washamba
Mungu utusaidie Watanzania tupate macho ya Rohoni !!Kwani wanaovunja ni CCM, halafu wachague tena CCM akili matope