Wadau naomba msaada je, kama mtu umepotelewa au kuunguliwa na vyeti vya chuo na kile cha form four, chuo au NECTA ukifatilia unaweza ukapewa vyeti vipya au?
Kwa hiyo ww unaamini kila alichosema Nyerere nisahihi n kama ujawahi kwenda A town nenda kaulize wazee wa kule kuhusu source ya utajiri wa uyo jamaa....ila sasa kwa upande wangu cto kaa niongozwe na yule kibabu wa CDM!
Samahani kama ntakuwa nimekuboa " penda sana kujenga hoja ambazo unahuakika nazi na co kwasababu ya wivu, chuki au naww uonekane umetoa hoja....pls tumia hizo MB zako vizuri!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.