Ni meleo awio mrema. Ambae pia ni mmiliki wa naura spring, impala, moshi hotel, impala moshi. Pia anamiliki victoria tower ambapo airtel arusha wamepangisha na kcb bank. Pia anamiliki fiona tower ambayo inaendelea kurekebishwa' akiwa na ubia na nhc. Pia ana ndurumanga farm iko nyuma ya polisi usa river, na amenunua magorofa ya kili tex. Yaliyopo njia ya njiro zaidi ya hapo anamiliki nyumba za kutosha maeneo mengi hapa arusha pia ni mfanya biashara safi sio fisadi... Mungu amuongezee.