Kweli babu wa CDM anakuwa president wa Tz??

Kweli babu wa CDM anakuwa president wa Tz??

henrynho

Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
31
Reaction score
4
Babu wa CDM kuwa president ni sawa na ndoto za kulala masikini na kuamia tajiri!!!
 
Umri si hoja. Nelson Mandela na Ronald Reagan wote walikuwa marais wakiwa na umri wa miaka zaidi ya 70. Lete hoja nyingine.
 
Back
Top Bottom