Umenena kweli tupu kaka; kimsingi na kwa ukweli usiopingika hapa hatuna international airpot bali ni local airpot. Kwa wale waliopata nafasi za kusafiri nchi za nje na kuona viwanja vya ndege na miundo mbinu ndani ya viwanja hivyo watakubaliana nami kuwa bado tuna safari ndefu sana ya kufikia...
Mkuu, nimeipenda sana hii brand na hakika nitahitaji idadi ya kutosha tu. naomba tafadhali tuwasiliane ili tuweke mipango sawa. nicheki kwa email yangu ya henrykarisia2000@yahoo.com. Tafadhali tafadhali tafadhali nawahitaji sana kaka.
Kwa namna hii ukombozi lazima upatikane; ni suala tu la kuendeleza kutoa elimu ya uraia kwa sana hadi kila kichwa kitambue nini maana ya ardhi wanayoikalia; pia watambue kuwa kuna muunganiko mkubwa sana kati ya rasilimali watu na rasilimali ardhi. Watu wameendelea kuwa fukara kwa muda mrefu sana...
For those who have read about colonialism, can surely accept the fact that what we see here is all about neo - colonialism in a very organized plans and it has nothing to do with our political stability. Those guys (obama and other first world presidents who come to visit tanzania) know very...
Na asubiri tu 2015 tutakapoipiga serikali yake dhaifu chini, tutaanza kwa kuikata pembe yake dhaifu pumbavu zake. Au anadhani uchafu alioufanya mwanae ambao unatugharimu kwa sasa hatuujui; Dawa yako dhaifu iko jikoni inachemka, just wait and see. Hata wananchi wakiamka na kudai haki yao ya...
anaendelea kukwangua hazina ya taifa, na hadi atakapoondoka madarakani atatuacha peupeeeeee;hapo ndio ile kauli mbiu ya mkapa ya kufunga mkanda tule nyasi itakapotekelezeka kwa vitendo penda usipende. hakika hili ni janga la taifa kwani kadidimiza sana uchumi wetu tangu aingie mambo yamekwenda...
Hata mwizi kuna wakati unafika inabidi ajisalimishe mwenyewe; ndio kama hivyo, wanaendelea kujianika hewani bila kujijua na kama ni kizizi basi ndio imesha expire ndio maana yake.
ama kweli nyani haoni kundule; vipi kuhusu kikwete na safari zake za kila kukicha siziso na tuja ktk taifa letu zaidi ya kutukamua wananchi kwa kutumia pesa nyingi sana za safari na matanuzi alafu huko anakokwenda ni kuomba tu kwa kwenda mbele hadi taifa sasa limeelemewa kwa madeni kwa sababu...
Wanachofanya CCM ni kama vile fundi makenika kuosha nguo yake iliyotapakaa oil chafu kwa magadi; haitangaa milele na uchafu hautakaa utoke. Suluhisho la tatizo hilo ni moja tu, nalo ni kuwapiga chini na kuweka chombo kipya.
Je umefanya tafiti za uhakika za haya uyasemayo? Una uhakika kuwa ndicho kinachoendelea? Je unajua kiuhalisia kinachoendelea kule mitaani kuhusu michakato ya kupata mabaraza ya katiba? Je, ni kweli kwamba hapo ulipo unaona maisha ya kuridhisha kwako binafsi, kwa mtoto wako na hata wajukuu wako...
Mabaya yana mwisho wake, na mnyonge huwa akionewa sana, hufika wakati woga unamtoka na kuamua kujibu mashambulizi. Kwa kifupi, Shida na taabu ndizo zitakazofungua akili za watanzania na kuanza kufanya maamuzi sahihi. Michezo hii mibaya ya serikali kucheza na akili za watu takriban milioni 45 ni...
Habari za leo wadau; nina mada naomba niwasilishe kwenu ili nipate ushauri wenu. Mimi kama mwanachama na mkereketwa wa CDM/M4C nahitaji kutoa mchango wangu kwa watanzania wenzangu namna ya kusaidia ktk uboreshaji wa chama katika kutangaza harakati za kujikomboa kutoka ktk umaskini, na pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.