Recent content by henry mbata

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hali imekuwa tete, masomo yamezidi kuwa magumu

    Tuition fees yenu ni sh ngp?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hali imekuwa tete, masomo yamezidi kuwa magumu

    unasoma chuo gani kijana?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mhe:Ndalichako hebu litazame hili kwa jicho la pekee

    Aiseeeh!!Aacha tu watakaoweza kumudu ni waleeee wenye cash hands
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua kiwango cha ada kwa vyuo vya Diploma vya Serikali

    Kwa anayejua ada za vyuo vya ualimu wa Secondary kwenye vyuo vya serikali ngazi ya diploma anisaidiae. Tafadhali karibuni
  5. H

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku watu ambao siyo 'Professional Teachers' kufundisha Private Schools

    Wewe unayejiita professional teacher!shule unayofundisha iliwahi hata kuingia topten za kitaifa au kimkoa?na kama hapana ,uliwahi jiuliza kwanini?Tofautisha kati ya hobby na talent ,walimu wengi kama ninyi mnaojiita professional teachers hamnazo kwenye vyet vyenu.Mliingia kwenye hizo kazi as...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada

    Habarini ndugu wanaJF. kwa anayefahamu gharama za hivi vyuo vya vya clinical officer vya serikali naomba anijuze (Amo Training centre Mbeya,Lindi clinical officer na sumbawanga clinical officer training centre.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Clinical medicine facilitator guides

    wapi unapiga mdau?
  8. H

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU TRANSFER YA CHUO

    Ni kweli bora amute na sio kureply ujinga.....
  9. H

    JamiiForums Tanzania Anayefahamu tarehe ya kuripoti chuo cha (NIT) 2016/2017

    Tarehe 12 mwezi gani??
  10. H

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUHUSU TRANSFER YA CHUO

    Msaidien jamanii
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaotaka ushauri

    Habari Mlenge .Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka mmoja uliopita kutoka sasa ,nilisoma mchapuo wa sayansi yaani PCB,nilichaguliwa kujiunga na chuo kikuu kimoja hapa nchini ila kozi ya IT degree,ila haikuwa ndoto yangu,kwani ndoto yangu ilikuwa ni udaktari.Niliamua kufanya application ya...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya urubani

    Aiseeh.inawezekana ndugu
Back
Top Bottom