Mhe:Ndalichako hebu litazame hili kwa jicho la pekee

Mwemary

JF-Expert Member
May 25, 2016
330
340
Habarini wanajamvi

Nasikitishwa na kitendo cha NACTE kuendelea kudahili mafunzo ya ualimu 2016/17. wakati kuna walaka umeshatolewa kwamba NACTE hawaruhusiwi kudahili tena kwani utaratibu umebadilishwa na wizara itahusika katika kudahili waalimu wa shahada na stashahada.

Pili ada za vyuo vya serikali zimekuwa kubwa hivyo kusababisha wanafunzi wengi wenye sifa kukosa kwenda kutokana na umaskini. Ada ni Tsh 600000, michango mingine sh 200000, nauli pamoja na sare za chuo laki 2,

Tunaomba Professor Joyce Ndalichako ulitazame upya kwani ada za zamani ilikuwa sh 70000, ikapanda sh 150000, baada ya mwaka ikapanda sh600000. Mm nashauri irudishwe ada zamani ya sh 70000. Kwani vyuo hivv vinaendeshwa na serikali hii ya awamu ya tano.

Sasa twaomba serikali ya iingilie kati hili ss wagoto wawakulima tuweze kusoma.
 
Wazo zuri sana hili naomba viongozi walichukue
 
Back
Top Bottom