Recent content by henry kisheke

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mahiga asema Tanzania haitambui Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel, baada ya Ndugai kunukuliwa akisema anautambua

    Sisi tumeitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel
  2. H

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro asema Polepole siyo CCM, adai yeye ( Muro) uwezo wake ni zaidi ya wabunge 10 wa Chadema!

    Mimi naona huyu Jamaa anastress apewe msaada
  3. H

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Dr. Slaa wageuka mwiba mwingine kwa upinzani

    Sio mwiba kwetu wafia chama?
  4. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeiteka CCM bila kujua

    Waona mbali walisema huyu si mwenzetu wengine wakabisha sasa mmejionea
  5. H

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mbunge wa Songea Mjini, Leonidas Gama(CCM) afariki dunia

    Tunawasubili wa kujikomba CHAGADEMA waende kwenye mazishi huku wenzao hawakwenda Nairobi
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mke wa Kafulila, Jesca Kishoa asema mume wake amekosa msimamo, yeye bado yupo CHADEMA

    Kishoa ni mtu wa singida acha uongo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Lazaro Nyalandu akisalimika kwenye hili fagio la chuma la Dr. Hamisi Kigwangalla, akatambikie

    Yaan nakuhakikishia hakuna lolote hapo kigwa anatafuta kiki tu
  8. H

    JamiiForums Tanzania Spika tusaidie kujua CCM ilifanya vikao lini kumfukuza Nyalandu

    Kumfukuza mwanachama hatua inaanzia vikao vya tawi,sijui kama tawi lake lilikaa vikao vya kumjadili.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tujivunie na kutambia matokeo ya timu ya Tanzania chini ya Prof. Palamagamba J.A.M. Kabudi

    Tujivunie nn nilitegemea Noah lkn hesabu inasema nagawiwa 14000=
  10. H

    JamiiForums Tanzania Joshua Nassari: Siwezi kukaa kimya kama hatua hazitachukuliwa

    Mlowola hana cha kumfanya Nassari ameshikwa pabaya kwa watuhumiwa hawa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lowassa, CCM itampandikiza nani CHADEMA?

    Sijui Chadema 2025 itampandikiza nani baada ya mzee wa tingatinga kuivuluga ccm kwa kuleta mambo ya kichademachadema
  12. H

    JamiiForums Tanzania Akaunti ya Instagram ya mange Kimambi yapotea hewani; yarudi hewani baada ya masaa kadhaa

    Mbona kafungua nyingine tayari?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kumbukumbu ya kifo cha mwalimu Nyerere, watumishi 59,967 kupandishiwa mishahara na madaraja mwezi ujao

    Subilini uhakiki wa umri unafata wa wake wangapi
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe Ben Saanane alipotea kwa sababu hii ya kuhoji ushindi wa fulani

    Watanzania msipobadilika wengi mtakwisha hii tabia ya namwachia mungu itawamaliza
  15. H

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda aachiwa Polisi kwa dhamana

    ABAZINZA TWEMANYE
Back
Top Bottom