Baada ya Lowassa, CCM itampandikiza nani CHADEMA?

Baada ya Lowassa, CCM itampandikiza nani CHADEMA?

Hivi kumbe Ni Waziri?muulize vile vichwa ambavyo havina mwnyewe na rais alisema havijulikani Ni vya nani vipi mmeshajua tutanunua kwa sh ngapi?na nakumbuka port authority walisema trl ndo waliagiza na inaonekana walilipa hadi ikapigwa chata ya trl vipi Ni trl wenyewe ndo wanatuuzia au..?

Naogopa NISSAN NYEUPE Mkuu
 
Namna hii ndani ya wizara ya habari na michezo kupeleka timu world cup ni sawa na shetani kuingia mbinguni. Hasara tupu
Ondoa akili za kitumwa ndani yako, hata mkielezwa kinaganaga mnabaki kubweka.......enyi wanawaufipa ni nani aliyewarogaa?
 
Sijui Chadema 2025 itampandikiza nani baada ya mzee wa tingatinga kuivuluga ccm kwa kuleta mambo ya kichademachadema
 
Nani kakudanganya ya kwamba lowasa kapandikizwa ccm, lowasa ni mtu anayejitambua na ameona mahali ambapo anaweza kuwasaidia wananchi na siyo kuwa ccm chama ambacho kinaonekana ni cha wezi kila kuchao
Ange wasaidia wananch akiwa kule aliko ishi tangu ujana.
Na pia alivyo hama mwizi EL mtaa wa ccm uko swali
 
Back
Top Bottom