Recent content by Henry Ford

  1. H

    JamiiForums Tanzania Lowassa kutumia zaidi ya shilingi Bilioni 1.5 kutangaza nia Arusha

    Kumbe Vodacom ni yake?Tulijua ni ya Rostam.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Dk. Magufuli atangaza kugombea Urais 2015

    JP Magufuri ndie habari ya mjini. Huyu ndie mwana CCM pekee ambaye watanzania walikuwa wanasubiri kwa hamu atangaze nia. Watanzania wengi wenye akili timamu ambao hawana price tag tunakuunga mkono baba. JP Magufuri ndie raisi wetu wa A5.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwigulu Nchemba, Urais ni wako

    Maraisi vijana siyo deal kabisa. Timejifunza kwa Nkurunzinza. Wakiingia madarakani wanang,ang,ania kwa kuwa hawana cha kufanya wakimaliza vipindi vyao!
  4. H

    JamiiForums Tanzania Burundi President says third term will be his last

    Kumbe maraisi vijana siyo deal. Nadhani anaona hana shughuli ya kufanya akitoka madarakani!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe natofautiana na wewe Kwa mtazamo wako kuhusu mgawanyo Rasilimali za Taifa

    Zitto anataka kutumia kiwango kidogo cha elimu ya wengi wa watanzania kupata anayotaka kwa kusababisha madhara makubwa kwenye taifa letu kupitia hoja mufirisi za ujenzi wa ujamaa. Ni makosa kuwaaminisha wananchi wa sehemu moja ya Tanzania kwamba umasikini wao umesababishwa na maendeleo ya sehemu...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hamphrey Polepole aikubali Katiba Inayopendekezwa na kusema kuwa ni ya wananchi si ya Wanasiasa

    Kuna vitu viwili ambavyo hufunga ufahamu wa binadamu kabisa. Cha kwanza ni tamaa ya madaraka na cha pili ni tamaa ya mali. Tafakari! Jambo liko obvious mtu anajifanya haelewi. Msimamo wa HP ni kuwa katiba ni mali ya wananchi nahii iliyopendekezwa maoni ya wananchi yaliachwa.
  7. H

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo yafanya mkutano mkubwa Tabora Mjini

    Utapeli mtupu. Watanzania siyo wajinga wataelewa tu mchezo unaoendelea. Watanzania wanawajua wapinzani wa kweli.
  8. H

    JamiiForums Tanzania ACT - Wazalendo yafanya mkutano mkubwa Tabora Mjini

    Utapeli mtupu.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu: Mark Mwandosya is the man to watch

    Acha kumtumia Nyerere kupotosha hoja kwa masilahi yako ya kutumikia ukabila ambao umejaza akili yako. Kila mtanzania ana haki ya kuwa raisi wa nchi hii bila kujali anatoka kabila gani ili muradi awe na sifa zinazohitajika. Acha kuleta mambo yako ya ukabila hapa.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Umoja wa walemavu Mwanza, wamsihi Muhongo kugombea urais

    Usanii tu hakuna la maana. Walewale wa kukodi.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu VS Zitto Kabwe, nani zaidi katika siasa za kibunge?

    Lissu yuko juu kwa kuwa hana price tag kama alivyo zitto.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Picha kuonyesha operation TIGI TIGI

    Kwa jinsi mind yako ilivyojaa ukabila akili yako inazunguka kwenye ukabila tu. Ujinga wako na wengine wenye mawazo kama wewe unapanda mbegu mbaya ya ukabila katika nchi hii. Muache uhuni huo kabisa.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Pengo kachemka. Mbona serikali na CCM wanazunguka nchi nzima wakitumia rasilimali za umma kuwaambia watu wapige kura ya ndio kwa katiba pendekezwa? Tatizo linaanzia hapo. Pengo halioni hilo? Wao wanapata wapi mamlaka ya kuwaamulia watu? Tamko la maaskofu ni sahihi. Ni sauti ya kinabii. Pengo...
  14. H

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    [Color red] mobile
  15. H

    JamiiForums Tanzania Zitto: Nipo tayari kuondoka CHADEMA iwapo nitapewa taarifa rasmi

    Hivi alikuwa bado yuko CHADEMA?
Back
Top Bottom