Recent content by hendeboy

  1. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Alia hadharani hakupiga kura ya Ndio katika Katiba

    Huyo alikula hela sasa anaanza kujutia vinginevyo kama kweli hakupiga kula angeongea kwa kupaza sauti lakini ukiangalia anavyoongea, anavyoongea utagundua kuwa alifanya hivyo.
  2. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    My laptop keypad is not working please who knows solution help me
  3. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Butiku awataja maadui wa serikali tatu...

    ahsante kwa taarifa tumesoma bado tunaitafakari
  4. hendeboy

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kwa mwalimu yeyote anayehitaji kurudi manyaa please ni m
  5. hendeboy

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi ni mwalimu wa sec mbulu- manyara natafuta mtu wa kubadilishana nae aliyeko TANGA, MOROGORO, KIBAHA, MKULANGA, CHALINZE
  6. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu crdb mobile

    nimejaribu but mwishoni inasema wrong pasword
  7. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu crdb mobile

    Wadau naombeni mnisaidie jinsi ya kujiunga na crdb simbankig kwa njia ya simu
  8. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Kalenga: Meya Jerry Silaa na Fredrick Mwakalebela waitingisha Ibumila na Mgama.

    tumeona tunasubiri kura
  9. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Ndg. Absalom Kibanda kwa Rais Jakaya Kikwete

    kazi ipo kwa majungu haya
  10. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Pole January Makamba

    Mimi napita tu mwaka usiishe bila kuandika kitu
  11. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Jakaya foundation

    Mwenye kufahamu zilipo ofisi za Jakaya Foundation anijuze, nimesikia wanatoa mkopo bila mashart. Tafadhali nisaidieni.
  12. hendeboy

    JamiiForums Tanzania Tatizo la nguzo za umeme Tanesco litaisha lini?

    hilo kuisha mpaka ccm itoke madarakani.
  13. hendeboy

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wazomewa Mwanza

    noted tutawatafuta waliozomea
Back
Top Bottom