Waraka wa Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Ndg Absalom Kibanda kwa Rais Jakaya Kikwete

Waraka unaitaji majibu kutoka ikulu,rais anaenda kufanyiwa uchunguzi wa afya MAREKANI?jaani india amepaona hapafai?
chocheeni moto by MPOTO
 
Kwanza aende polisi kuthibitisha kama waliokamatwa kwa kumtesa ndio wale aliowachukulia wake zao au sio wenyewe. Period!
 
gazeti la mtz lilifungiwa kwa sababu ya utovu wa nidhamu, kuhamasisha chuki, uchochezi na ubaguzi ktk nchi

Thats what you say coz you dont know what natural justice entails, hear both sides and no man should be a judge in his own cause.
 
Ningetamani sana ujumbe huu ungepata kiongozi msomaji, mwelewaji na anaye deal na issues. Bahati mbaya kwa Kibanda aliyemwandikia hana sifa hizo. Kilio cha samaki...
 
Yaani haueleweki, umeandikwa kwa hasira ya watu fulani ili wafukuzwe kazi.

Uandishi mbovu, kujaza paragraph tu!

Hv nani atasoma waraka mrefu kama bajeti ya wizara fulani hadi unasahau yalioandikwa mwanzo?

Msomi anaandika mawazo makuu kwa paragraph chache na anaeleweka!

NO POINT AT ALL ACHA HABARI ZA UCHOCHEZI!

Nafikiri haya yanaweza kua majibu ya Mh.Rais anayoweza kutoa!

Masikini watanzania aliyeturoga kishakufa na funguo kaingia nao kaburini, what a damn bad luck, yaani waraka niliotumia dakika 2 kusoma na kuuelewa kiufasaha ndo unauita mrefu mpaka usahau kilichoandikwa mwanzo?ama kweli kuishi kwingi kuona mengi.
 
Mkuu Hugochavez ningeomba utafute muda kidogo usome yaliyoandikwa na urudi tena hapa JF. Watu kama nyie ndio mnakwamisha juhudi za Dr. Kikwete kwa kila anachojaribu kufanya .....
Ni kweli mkuu, jamaa hajatafakali kwa kina kilicho andikwa humu! Huku tunako kwenda sio pazuri kusema kweli, JK anapashwa kufanya kazi ya ziada kunusuru TAIFA letu.
 
Waraka kwa kweli umetimia. Hivi rais akisoma majibu tunayapata gazetini au yatakuja JF? Anyway ngoja tusubiri kama Waziri aliyetajwa atajibu maana haya mambo mazito kweli!
 
Japo umeandika maneno mengi na mengine kujirudiarudia na udhubutu wako ngoja tumngojee JK nl msikivu atayafanyia kazi. Pole sana. Mungu akutunze
 
Kibanda mwenyewe kigeugeu kama ulisaini mkataba vibaya wa kumuuza Lowasa itakula kwako,lazima ukutane na mkono wa chuma kutoka kwa Mh Membe hii ni vita ukiona huwezi piga pooo na uhamie kwa Erick Shigongo.
Kibanda hueleweki na sababu ni kuwa hata ww dhamira yako sio nzuri.
 
Mwacheni jk siyo mumchoshe na mijiwaraka mireeefu liiyojaa chuki binafsi. Mliingilia ubini wa rais kabila ili mpate Faida gani?

Hata hivyo nimependa ufasaha na utajiri wa laugha ya kiswahili uliyotumika
 
Back
Top Bottom