Recent content by help me my Jesus

  1. help me my Jesus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndio mwanaume ninayemtaka, sitaki kuumiza moyo wangu una thamani

    MUNGU humpa mtu anachokistahili na sio anachokipenda. Kheri kwa waliosomo maana hao ndio wanakimbiliwa
  2. help me my Jesus

    JamiiForums Tanzania Gwajima apingana na msimamo wa Serikali juu ya mji mkuu wa Israel. Asema Jerusalem ndio mji mkuu, ampongeza Spika Ndugai

    Kuna Nguvu ipo nyuma yako inayokusukuma na c ya kibinadamu. Unaizungumziaje
  3. help me my Jesus

    JamiiForums Tanzania Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)

    Issa ni kiarabu!!!! Unashangaza kweli..... Uongo wako uishie hapo hapo kama huta acha utajua mwana wa MUNGU NI NAN
  4. help me my Jesus

    JamiiForums Tanzania Wazayuni wavamia sehemu alipozaliwa Nabii Issa (Yesu) wawapiga mabomu Wakristo (+ Picha, Video)

    Mpumbavu wewe YESU ni YESU na ISSA ni ISSA
  5. help me my Jesus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuachana na mke wa ndoa (christian) ni kweli biblia imezuia?

    Mathayo 5:32 Lakini mimi nawambieni, kila mtu amachaye mkewe, isipokuwa kwa habari ya uasherati, amfanya kuwa mzinzi; na mtu akimwoa yule aliyeachwa, azini
  6. help me my Jesus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

    Hapo ndipo nnapowakumbuka waliondharau mm kama ww ufanyavyo leo huwa nacheka saaaaaaana
  7. help me my Jesus

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nenda zako mshamba wewe! Acha wajanja waje

    Wajanja waje na watakuja wengi sana ili umkumbuke mshamba wa leo. Lakn muda utakuw umeisha
  8. help me my Jesus

    JamiiForums Tanzania Trump kukata misaada kwa nchi zitazopiga kura kutotambua Jerusalem

    Tangu kale na sasa na siku zote Jerusalem ni mji mkuu wa Israel. Mungu ibariki Israel. Ameni
  9. help me my Jesus

    JamiiForums Tanzania Trump kukata misaada kwa nchi zitazopiga kura kutotambua Jerusalem

    Mi nataka Tanzania iliyokata kuunga mkono ikafanye hivyo na kwenye kura
  10. help me my Jesus

    JamiiForums Tanzania Saudi Arabia yatangaa rasmi kuanzisha uhusiano na Israel

    Wewe mwandishi umekosea uliposema utawala haramu w Israel, kw taarifa yako ww ndio HARAMU
Back
Top Bottom