Recent content by Hellena Goodluck

  1. Hellena Goodluck

    Nina mtaji wa sh million 6 ambayo mpaka sasa sijajua exactly ni biashara gani nifanye

    Yah inaniwazisha sana ndugu na nahitaji kabisa kuizalisha hiyo pesa
  2. Hellena Goodluck

    Nina mtaji wa sh million 6 ambayo mpaka sasa sijajua exactly ni biashara gani nifanye

    Habari ya muda huu wakuu. Mimi ni msichana wa miaka 24, nimeajiriwa katika kampuni ambayo masaa 8 nakuwa kazini na ninaishi dar-es-salaam nina mtaji wa sh million 6 ambayo mpaka sasa sijajua exactly ni biashara gani nifanye ili kuizalisha pesa hiyo na bila kuingilia ratiba yangu ya kazini maana...
  3. Hellena Goodluck

    Waliopata admission later udom tusaidiane

    Kwa aliye na uzoefu UDOM naomba anisaidie, eti naweza nkaripoti chuo bila kulipa ada hata kama nimeshalipa other costs then after one week nilipe?
  4. Hellena Goodluck

    Maji yana ladha au hayana ladha?

    Ni kweli maji ni tasteless. Utamu au kutokuwa na utamu wa maji huwa inategemeana na Ph ya maji husika that's why watu tunachagua maji yanayotengenezwa viwandani.
  5. Hellena Goodluck

    Nahisi nimetongoza jini

    wow! Mulemule
  6. Hellena Goodluck

    primary wanayofundisha computer ,secondary wanayofundisha programming

    Primary wanayofundisha computer mojawapo ni Tuishime Primary School ipo Arusha-Njiro,alisoma mdogo wangu.
  7. Hellena Goodluck

    Bachelor of Science in Clinical Medicine, ufafanuzi

    Samahani wakuu mi nina swali, kwa hiyo mtu akisoma diploma ya Clinical Medicine akimaliza anaweza kusoma MD au ni lazima asome BCM? Na pia kuna ndugu yangu amemaliza form 6 na hajafanikiwa kupata chuo, ameamua kuwa asome tu diploma ya Clinical Medicine, sasa nilisikia kuwa kwasababu kamaliza...
  8. Hellena Goodluck

    Third round application

    Sure jamani! Kesho ndo deadline kutokana na tangazo lao linavosema.
  9. Hellena Goodluck

    Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

    ooh haya duh,it is complicated kwa kweli
  10. Hellena Goodluck

    Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

    Na je ukikuta kuna choices zingine za vyuo priority imebaki negative something maana yake ni nini?
  11. Hellena Goodluck

    Wale TCU 2nd round, tembelea profile yako sasa hivi

    kuna wengine kama mimi zimebadilika kwenye priorities lakini nikiangalia hakuna ujumbe wowote unaosema nimekuwa selected,so it means ndo nimekosa tena chuo au?
  12. Hellena Goodluck

    Kuhusu vyuo 2015/2016

    Kweli jamani kwa mwenye uelewa wa hizo remaining capacities tunaomba atuelezee zina meaning gani.
  13. Hellena Goodluck

    Kuhusu vyuo 2015/2016

    me mwenyewe hivohivo,mybe chakula ndo kimeshaiva
Back
Top Bottom