manmsolidi
New Member
- Nov 9, 2015
- 3
- 0
mkuu naomba unitumie kwenye email ,Allyabdallah306@yahoo.com
Kwa aliye na uzoefu UDOM naomba anisaidie, eti naweza nkaripoti chuo bila kulipa ada hata kama nimeshalipa other costs then after one week nilipe?
vp kwa wale wa special diploma ambao hawajaomba mkopo utaratibu wao unakuwaje?[/QUOTE
niliona baadhi yao wakijarbu kuomba wakiw chuo please wahi!
Ingia web ya udom kuna batch6 ambayo ni ya mwsho ns ukikosa nenda nacte wakupange chuo kngne ndyo majibu hayooo toka udom.tupo wengi sana mimi nacte wameniandikia selected udom bt bado admission kuipata ni tatizo
Gud mkuu!madhara yake ni kutopokelewa chuoni,cdhan kama kuna madhara mengine.