Recent content by hellefay

  1. hellefay

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake nisikilize, Mapenzi tu hayawezi kumbakiza mwanaume

    Well said
  2. hellefay

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya 'kwanza kabisa' ulibeba mimba ukiwa na umri gani?

    Ilinasa nikiwa na miaka 20 first year second semester,home wakamaind sana wakazira kulipa ada na gharama zingine muhim,Kwa kua mhusika alikua na malengo na mim na pia alikua kashapata ajira nzuri ya kudumu akaenda chap kulipa mahari na kujitambulisha na kuanza rasmi kulipa gharama zote za masomo...
  3. hellefay

    JamiiForums Tanzania Njoo ufunguke kitu kinachokupa wakati mgumu

    Kua jobless
  4. hellefay

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa field azungumza mbele ya RC Chalamila changamoto ya Rushwa ya ngono wanayokumbana nayo kwenye ofisi mbalimbali wakati wa kutafuta field

    Hata kupata kazi Kwa mabint imekua changamoto sana, boss anakwambia kabisa ukiwa mchepuko wangu nitakupa kazi yenye position na salary nzuri hapa ofisin.
  5. hellefay

    JamiiForums Tanzania Kwanini sishiki mimba?

    Nakubaliana na wewe,na kama tarehe hua zinafanana bas mzunguko wake sio wa siku 28 bali 30..hivyo hizo siku anazosema anakutana na mumewe sio siku sahihi za kupata ujauzito
  6. hellefay

    JamiiForums Tanzania Siri ambayo waombaji wengi wa Kikristo hawajaijua. Chukua hii uone matokeo katika maombi yako

    Na mtu wa tatu tuliyeagizwa tuwapende ni adui zetu
  7. hellefay

    JamiiForums Tanzania Investigation Officers II (250 Posts) at PCCB / TAKUKURU February, 2024

    Na chet cha class seven awe nacho.
  8. hellefay

    JamiiForums Tanzania Kwenye phonebook yako kuna marehemu wangapi?

    Ni ngumu kufuta namba especially awe ni mke mume wazazi au ndugu wa karibu.
  9. hellefay

    JamiiForums Tanzania Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

    Uko sahihi ila kama wana bima NHIF atakatwa 3% of BS..take home itapungua kidogo.
  10. hellefay

    JamiiForums Tanzania Napitia changamoto kazi mpya

    Usiache kazi kabla hujapata kazi ndugu yangu.Maisha ya kua jobless ni mabaya na yanatesa usiombe.Fanya majukum yako uliyopangiwa.Ukiacha utakua umewapa hao watu ushindi.Makazini changamoto hua hazikosekani. Nipo jobless nataman nipate kazi japo ya kutuwezesha kula na familia.KAZI NI MBAYA UKIWA...
  11. hellefay

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Status:job seeker Education level: Advanced diploma Proffesional: Accountancy Experience:seven years Gender:female Location:Dar es salaam Availability:as soon as possible
  12. hellefay

    JamiiForums Tanzania Shetani anawapepeta vijana kadri atakavyo, vijana wanakufa wakiwa wadogo. Acheni dhambi vijana hamtatoboa

    Mungu na atusaidie..Nimekuelewa sana.Ambae hayajampata hawezi kuelewa.Mwaka huu tumezika wawili kwenye familia moja ndan ya miez sita..chanzo ajali na homa zisizoeleweka.
  13. hellefay

    JamiiForums Tanzania Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Kuna mkaka ninamfaham yupo vizuri sana kiuchumi lakini kumpa mkewe japo elf 50 ya matumizi binafsi hampi sembuse kujengea wakwe nyumba...kuna watu ni wabinafsi sana.
  14. hellefay

    JamiiForums Tanzania Huduma gani unaifata umbali mrefu, japo inaweza patikana karibu yako?

    Kerege to Bunju kwa saluni yangu niliyoizoea.
Back
Top Bottom