Recent content by Hell2Heaven

  1. Hell2Heaven

    Kazi ya Duka/Stationaries/Uwakala/Supermarket

    Habarini wapendwa! Kuna msichana wa miaka 25, Yupo Dar es Salaam, anatafuta kazi za Supermarket, Bakery Shop, Stationaries, Duka la Nguo/Duka la Vipodozi, Duka la Uwakala wa Miamala, Duka la Vinywaji baridi(Siyo grosary) na Mengineo ya kufanana nazo. Kama una muitaji wasiliana na mimi kwa...
  2. Hell2Heaven

    Binti wa Miaka 25- Anatafuta kazi ya Duka

    Habarini wapendwa! Kuna msichana wa miaka 25, Yupo Dar es Salaam, anatafuta kazi za Supermarket, Bakery Shop, Stationaries, Duka la Nguo/Duka la Vipodozi, Duka la Uwakala wa Miamala, Duka la Vinywaji baridi(Siyo grosary) na Mengineo ya kufanana nazo. Kama una muitaji wasiliana na mimi kwa DM...
  3. Hell2Heaven

    Je haya mashirika ya haki za wanawake na ukatili wa kijinsia yapo kweli? Ukatili na dhuluma ya haki kwa mwanamke huyu

    Ulisha ona maajabu ya ukatili wakijinsia alafu polisi wana mpooza mke kwa kumpa elfu 50 eti akapike ili yule polisi aje kusuluishia kesi nyumba jioni? Hii imetokea moshi mjini kituo cha mjini standi, ambapo mwanamke anaye nyanyaswa kikatili na mume wake kwa vipigo vilivyopelekea mimba 3 kutoka...
  4. Hell2Heaven

    Udhalilisaji na ukatili wakijisia na unyanyasaji wa mwanamke - moshi mjini

    ULISHA ONA MAAJABU YA UKATILI WAKIJINSIA ALAFU POLISI WANA MPOOZA MKE KWA KUMPA ELFU 50 ETI AKAPIKE ILI YULE POLISI AJE KUSULUISHIA KESI NYUMBA JIONI? HII IMETOKEA MOSHI MJINI KITUO CHA MJINI STANDI, AMBAPO MWANAMKE ANAYE NYANYASWA KIKATILI NA MUME WAKE KWA VIPIGO VILIVYOPELEKEA MIMBA 3 KUTOKA...
  5. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Nahakika moja ya majirani wenye gilba na hila uko mtaan kwako wewe ni mmoja wao.. hivyo ina kuuma sana kuona tuna peana mbinu za kudeal na nyie. Wewe bila shaka ni mshirikina, mwenye wivu na mwenye roho mbaya sana.. hata uandishi wako una dhibitisha ulivyo nafsin mwako..
  6. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Kama jambo halikuhusu ukijihusisha nalo lazima uonekane mwehu.. kwamba hao wanao jibu matukio yenye mafunzo na hao wanaosema wamejifunza kupitia uzi huu wote ni wajinga wewe ndio mwerevu?? Ukiona huelewi sababu ya jambo pita mbali usitake hata kulisogelea utakuwa kama kituko.. ambayo wewe...
  7. Hell2Heaven

    Mlio Hamia nyumba zenu mpya, Majirani zenu Shwari au Vita?

    Ha Hahaha hamia sasa bila kwenda kuvunja hayo mambo uone utakavuo umwa na kipato kikatike mazima hahahaahha
  8. Hell2Heaven

    NBC Acheni makato yasiyo na makubaliano na wateja wenu huu ni wizi wa wazi

    NBC ndio ukiwithdraw kwa ATM hawaweki Karatasi ili usiangalie Salio wala kumbukumbu isiwepo.Yaan wajanja sana
  9. Hell2Heaven

    NBC Acheni makato yasiyo na makubaliano na wateja wenu huu ni wizi wa wazi

    Hilo la CRDB ndio na mm lilinikuta nilikaa muda bilakutumia kaka miaka 3, nika uza Gari sasa mnunuz akataka alipe kwa bank nika mruhusu nika mpa jina na acc akalipa.. bwana weweee.. kesho yake naenda bank kutoa nakuta walikata 150,000/ eti ni mantainance ya card kwa miaka 3.. nilichoka.. alafu...
  10. Hell2Heaven

    NBC Acheni makato yasiyo na makubaliano na wateja wenu huu ni wizi wa wazi

    acha tu, hi bank ni wajanja sana.. na ukiuliza utazungushwa maelezo yasiyo eleweka wana jiuma uma wafanyakaz wanajua kabisa sio sawa ila wanarushiana mpira nenda kwa flan mara nenda kwa fulan..utachoka uondoke alafu mwezi unao fuata wanafanya vile vile
  11. Hell2Heaven

    NBC Acheni makato yasiyo na makubaliano na wateja wenu huu ni wizi wa wazi

    NBC matapeli kuweni makin na bankstement za kila mwezi wanazotuma kwenye email..utagundua wana iba kijanja. eti unakatwa Insurance Premum mara 3 ndani ya mwezi mmoja.. alafu hakuna mahali umeongea nao kuhusu insurance na katika miaka 3 ya kuwa nao sijawahi ona wamenikata mambo ya Insurance...
Back
Top Bottom