1Ninaamini umeona vyema kasoro ambayo NACTVET inaweza kuiboresha kwa kuongeza wepesi wa kuprocess matokeo baada ya mitihani na kuyatoa. Nami ninaamini kabisa NACTVET ikiamua kurekebisha hili itaweza kabisa na huu mjadala utakuwa umefungwa ;
1) Jamani hamna haja ya kutukanana
2) Nia hapa ni njema kwa kila mmoja
3) La muhimu hapa ni kuangalia ni jinsi gani usahihishaji wa karatasi za Theory za Mwaka wa tatu unapewa priority na matokeo yake kuwahi admission cycle ya vyuo vikuu bila kuharibu quality ya usahihishaji nk
4) Hii ni...
Hapana hawajakosea hii inaitwa competence based. Ukimaliza NTA LEVEL 5 ni level ya ku-exit na NTA Level 6 ni different level na unaweza kuja kuisoma muda wowote baada ya level 6. Hivyo level 6 it is treated differently.
Ni muhimu sana matokeo ya mwaka wa tatu kutoka mapema na kidhinishwa mapema ili wanafunzi wapate fursa ya kuendelea na vyuo vikuu kwa wale wenye nia ya kufanyahivyo
1).Hii kwakweli ina umuhimu wa kufanyiwa kazi kwa mapendekezo haya mazuri.
2) Tunaomba matokeo ya wanafunzi wa diploma yatoke mapema na baraza la NACTVET nalo ikae mapema kuyaidhinisha.
3)Kama nia ipo yote yanawezekana
4)Tunashukuru mkiangalia ombi hili la wadau
Nchi yetu hata ukiwa na vigezo vya kusoma MD nafasi ni chache , hakuna vyuo vya kutosha kama ilivyo kozi nyingine na hivyo wengine inabidi wapitie njia hizo. Ndio maana Sudan iliingia kwenye vita na Malawi kuna bachelors in specific areas anakuwa AMO with Bachelor ( 3 years Anaesthesia, Surgey...
Mtu
Mwenye Bachelor ya Clinical Medicine still anaweza kuwa na progression pathway in different health related fellowships or research fellowships etc kila jambo lina mlango wa kutokea
1) Malawi clinical officer anasoma moja ya hizi bachelors KUHeS - Undergraduate programmes
2) Anakuwa still AMO ingawaje ni rahisi kupata progression pathway kwa kufanya a fellowship in one of the related areas or a Masters of science
3) Hili ni jambo la kuigwa na vyuo vyetu vikuu Tanzania
Wataalam na wadau wa elimu ya juu wamewaomba viongozi wa serikali kuanzisha utaratibu maalum utakaoviruhusu vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma kozi ya shahada Tanzania.
Kwa sasa ni wanafunzi wenye alama za ufaulu sawa na elimu ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita)...
Kuchukuwa hatua ni jambo moja ila hatima ya wanafunzi itakuaje? Je watapoteza muhula mzima nyumbani? Hill linatakiwa kutatuliwa kwa haraka vijana wasipoteze muda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.