jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,270
- 43,060
Elimu za kuungaunga mwanzo mnafurahi sana kupata kazi mapema. Baadaye mnaanza kutapatapa.
Mbona povu mwanetu,hutaki wadau wapate ajira mapema.
Elimu za kuungaunga mwanzo mnafurahi sana kupata kazi mapema. Baadaye mnaanza kutapatapa.
Mkuu ni kweliHivi tetesi za kurudi kwa kozi ya AMO ni kweli???
Sasa mbona dirisha la maombi hakijafunguliwa kwa AMO na mwaka wa masomo umeanza....au wana utaratibu wao??Mkuu ni kweli
Kama ukiweza wacheck watakupa ushaur na cha kufanya si unajua Ifakara ni Private...Sasa mbona dirisha la maombi hakijafunguliwa kwa AMO na mwaka wa masomo umeanza....au wana utaratibu wao??
Exactly.....ndiyo majibu yao..Lakin mm binafsi nikiwasikia na nao juzi walichokisema hasa sasa hawajapata Kibali cha udahili AMO .
Japo tayari wamepeleka maombi ya kuanza kutoa hiyo program na hawajajibiwa na mamlaka husika ivo hawana uhakika kama mwaka huu watadahili ama kaa.
KCMC zipo AMO radiology, Opthalmology n.kKwanza hiyo Amo inatolewa chuo kipi kwa hapa Tanzania
Mbona ifakara wameruhusu maombi?AMO haitambuliki!
Usikariri.. kwamba Advanced ni lazima .. Advance ni kupoteza muda tu ! I wish ningekuwa na hizo akili .. lakini nilikariri kama weweElimu za kuungaunga mwanzo mnafurahi sana kupata kazi mapema. Baadaye mnaanza kutapatapa.