Mm ni mwanaume mwenye umri wa miaka 38. Naandika kutafuta mwenza wa maisha wa jinsia ya kike.
Sifa zangu
Miaka 38
Muajiriwa
Mkristo
Msukuma.
Sifa za mwanamke nimtakae.
Umri 27-40
Mkristo, Kama siyo awe tayari kubadili dini.
Mwenye shughuli ya kumuingizia kipato.
Kabila lolote kasoro watu wa...
Mwisho wa siku utakuja na hoja ya alitumia lugha gani na chakula gani? Hahahaha! Kwa Bwana Yesu Kristo aliyesulubishwa, akafa, akazikwa, siku ya tatu akafufuka , akapaa mbinguni kila goti litapigwa na kila ulimi utakiri hata kwa kuchelewa.
Chukua mkojo wako nusu lita na mkojo wake lita 3 halafu changanya kisha kunywa nusu kikombe mara nne kwa siku, fanya hivyo kwa siku kumi. Kumbuka wakati unatumia dawa hairuhusiwi kupiga mswaki kipindi chote. Na ni lazima ulale nae kipindi chote cha dawa. Utanishukuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.