Recent content by Hekari

  1. Hekari

    JamiiForums Tanzania Tafakuri na Kandaka binti wa ardhi ys Nubia, Tanzania imekataa

    Mimi si mwanachama wa chama chochote ndugu yangu
  2. Hekari

    JamiiForums Tanzania Tafakuri na Kandaka binti wa ardhi ys Nubia, Tanzania imekataa

    Hali ya ukungu na baridi kiasi ulioitawala June 6 2019 haikuzuia misafara isiyoisha ya magari ya jeshi katika mji wa khartoum. na kila walipopita nyuma waliacha miili ya mamia ya raia imelala katika Kila Kona ya mji huo ikiwa imeondokewa na baraka ya uhai. Hapa wananchi wakaanza kuiona adha ya...
  3. Hekari

    JamiiForums Tanzania Fei Toto agonga mwamba TFF, bado ni mali ya Yanga

    " ignorance of the law is not an excuse before the court of law" "Ignorantia juris non excusat"
  4. Hekari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Premio (DFP) inauzwa

    Ngja nichangamke kuingia kwenye siasa nikawaibie wakulu
  5. Hekari

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Premio (DFP) inauzwa

    Sijui lini namimi nitapata Mapesa
  6. Hekari

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Rufaa Chato ni aibu na fedheha kwa Serikali, ipelekwe Biharamulo na Majengo yawe Chuo cha afya! Chuki dhidi ya Kagera ziishe

    Waacheni wasukuma wajue hata maana ya paracetamol, asprin na cafeine.
  7. Hekari

    JamiiForums Tanzania Govi Lamuokoa Asiende Jela

    Halmashauri ya mji wa Bariadi na shinyanga kwa ujumla wafanye haraka kujenga mnara wa kumbukumbu ya jasiri Butongwa
  8. Hekari

    JamiiForums Tanzania Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Huo msemo ulikuwa kama unga wa ndere kwa WARI wa Giningi
Back
Top Bottom