Recent content by hekaheka

  1. H

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano 2016/2017

    Ukisoma vyema utaona "mkongo wa mawasiliano" umetengewa pesa. Unaweza kutenganisha mkongo na TTCL?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa World Economic Forum for Africa unafanyika Kigali-Rwanda

    World Economic Forum on Twitter Orodha ya waalikwa na wawakilishi utaiona hapo. Mama Suluhu ndiye mwakilishi kwenye WEF26
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania seeks 40% more tourists in 2014: Oprah on SAFARI; Check out her Instagram pics SERENGETI

    This trip was in July 2013, and she shared the same pics. http://www.rhinoafrica.com/blog/2013/07/29/oprah-on-safari/ Of note, Kagasheki was still a Minister.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nyumba za NSSF Kibada, Kigamboni

    Kutegemea na finishing, nyumba ya kawaida dar inaweza gharimu kati ya 500,000 hadi 700,000 kwa square meter. Kwa hesabu za haraka, hiyo nyumba bei ipo juu kuzidi bei za soko. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mauaji Ya Kimbari - Tanzania Kuweka Makumbusho

    Wa "Lakilaki", itazameni kwa jicho pana fursa hii.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Mauaji Ya Kimbari - Tanzania Kuweka Makumbusho

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeiteua Tanzania kuwa mwenyeji wa kutunza kumbukumbu za nyaraka za mauaji ya kimbari nchini Rwanda. Jumla ya Sh. bilioni nane zinatarajiwa kutumika kujenga kituo hicho ambapo Miongoni mwa majumu yake ni pamoja na kutunza nyaraka za mahakama ya Kimataifa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Burundi, Rwanda plan road link to Tanzania

    Hii habari ni ya zamani sana. Huyo waziri alikwishatoka madarakani mwaka zaidi ya mmoja sasa. Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania Uranium Project

    Read this story, The East African: *- Business*|Russian firm back in Tanzania uranium project Note From the story: Capital cost for construction of the mining plant including all associated infrastructure stands at $298 million. Mr Ngeleja said that the pre-feasibility study...
Back
Top Bottom