Tanzania Uranium Project | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Uranium Project

Discussion in 'Major Projects in Tanzania' started by hekaheka, Apr 11, 2011.

 1. h

  hekaheka Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Read this story,
  The East African: *- Business*|Russian firm back in Tanzania uranium project

  Note From the story:

  • Capital cost for construction of the mining plant including all associated infrastructure stands at $298 million.

  • Mr Ngeleja said that the pre-feasibility study in March 2010, indicated that, once developed, the mine would produce 1,650 tonnes of uranium oxide a year, thus overtaking the US—which produced 1,560 tonnes in 2009—to become the eighth largest producer in the world.

  • The government expects about $630 million in royalties, income and employee taxes directly from the project based on the 15 year estimated life of the mine.


  Brief Analysis:


  • [FONT=&quot]World Uranium Price staggers at is $60 per Pound. [/FONT]

  • [FONT=&quot]1Ton = 2,240Pounds, 1,650Tonnes is equivalent to (1650*2240)= 3,696,000Pounds. This is equivalent to (3,696,000Lbs*$60 = $221.76 million) PER YEAR.[/FONT]


  • [FONT=&quot]Assume the Loan Pay back to the tune of $[/FONT][FONT=&quot]38,427,879.01[/FONT][FONT=&quot]M[/FONT][FONT=&quot] per Year (payback period of 15yrs and interest rate of 10%), and a production cost ($8*3,696,000Lbs = $29.568M) the profit is (221.76m – 38.428m - 29.568m) = $153.764m.[/FONT]

  • [FONT=&quot]Government will expect $630m over 15Yrs, which is equivalent to $42m per Year (About 27%). [/FONT]

  [FONT=&quot]
  [/FONT]Sasa ambacho kinanitia utata ni kifuatacho;

  • Hivi ni kweli tunashindwa ku-bargain better rates than these?
  • Hivi kwa hesabu ndogo za kawaida; Corporate Tax pekee si 30% ya profit achilia mbali royalty ambayo ni 4%? Mbona 27% ndo pato letu ambalo tayari ni dogo kuliko tax na mrahaba?
  • Hivi ni Kweli waziri na watendaji wake hawakufanya Homework yao kabla ya kuja public, au ni sisi wasomaji hatujafanya homework yetu sawasawa?
  • Hivi ni kweli serikali yetu inauza rasilimali zetu kwa uwekezaji mdogo namna hii wa $298m?
  • Hivi ni kweli kiasi hiki hakiwezi kupatikana kwenye mabenzi iwapo serikali itatoa guarantee kwa wazawa na pesa hiyo kurudi kwenye mabenki yetu?
  • Na hivi uwekezaji huu huwa na mfumo wa kushindanisha offers za "investaz" kupitia "michakato ya tender"?
  [FONT=&quot]Naomba wana jamii mnisaidie kuelewa hii lugha, kwa maana kiingereza ni kigumu saa nyingine.[/FONT]
   
 2. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2016
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 21,449
  Likes Received: 13,235
  Trophy Points: 280
  ????
   
 3. KWEZISHO

  KWEZISHO JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2016
  Joined: Jan 29, 2016
  Messages: 6,714
  Likes Received: 5,221
  Trophy Points: 280
  Hapa unaweza kuelewa kwamba zile pesa za MCC sio kodi za waamerika, sio bure kuna jambo ndani ya MCC saga.
   
Loading...